Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Naandika hii habari kwa masikitiko makubwa,kama tunakumbuka miezi kadhaa iliyopita Serikali ilifanya zoezi la kuhamisha walimu kutoka shule moja kwenda shule nyingine huku wakisema kwamba hilo ni...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Jana 9-10-2017, katika kipindi cha “This Week in Perspective” – TBC – kinachoendeshwa na Adamu Simbeye, waliongelea kuhusu Vitabu Vibovu vilivyoandaliwa na Taasisi ya Elimu Tanzania (TIE). Kati...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Natafuta shule ya private kwa kidato cha tano iliyoko mkoa wa Arusha kwa tahasusi ya PCB. Ada isivuke 2.5m
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jamani hivi hizi shule binafsi hivi ni kigezo gani wanatumia kupanga hizi ada kwa mikoa mingine ukiondoa Kigoma na Bukoba?Nina kijana wangu anasoma huko Tanga shule binafsi,tena shule ya msingi...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wakuu, kama kichwa cha habari kinavyoonekana...wizara ya elimu itatoa lini majina ya waliopata scholarship za nchi mbalimbali ikiwemo China? maana nimesikia utaratibu siku hizi ni...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kisa uchakavu wa majengo...ahsanteee. Sirikali sikivu kwa brn hii.
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Habari za wakati huu wanajf..? Niende moja kwa moja kwenye mada.!!. Kwa matokeo haya naweza kusomea course ipi ya afya? Chemist-B Bios-B Eng-B Maths-C Geo-C Kisw-C Hist-D civics-D Naomba utoe...
0 Reactions
49 Replies
12K Views
Uchunguzi wangu unaonyesha vijana wenye Div 1 na 2 wanakacha kwenda form five na kwenda vyuoni hasa vya utabibu, kulikoni? Sent from my HUAWEI G730-U10 using JamiiForums mobile app
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hellow kwa wale wote ambao wanajihusisha na uandishi Wa novel, plays na poetry napenda tusaidiane kwa ambae labda ana uelewa ni kiaje naweza kudhaminiwa ili kitabu changu kiwe published na kisomwe...
0 Reactions
0 Replies
660 Views
Kama heading ilivyo naomba kujua kuhusu hii allowance inayotelewa ya 950 TL Serikali ya Uturuki, je inatosha kwa matumizi kweli, kwa mtu mwenye majukumu mengine nyumbani?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hello team, Nimeokota bahasha yenye vyeti vya Sunday Lameck, vyeti vyenyewe ni: Cheti cha kuzaliwa number 000464555 kilichotolewa mwaka 09/11/1989 Cheti cha mafunzo kutoka FPCT YOUTH CENTRE...
0 Reactions
1 Replies
675 Views
0 Reactions
0 Replies
464 Views
Nimepangiwa Field masasi town council naomba kujuzwa maisha halisi ya huko.
0 Reactions
121 Replies
18K Views
Mimi nilimalza mwaka jana form six nikiwa na two point 12 nilisoma hgl je naweza soma faculty gan ngaz ya degree na vyuo gan
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Ivi mtu kama akiaply course za afya then akachaguliwa akifika chuon kutakuwa na interview au mitihan yoyote?
1 Reactions
1 Replies
892 Views
Naomba kujua nimeaply serkal health clinical medicine ,ambavyo sina math, Nina c-bios,phy d,chem d,engl c,history c, je? Naweza kuchaguliwa???
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Wanadugu kuna mwenye habari kwa nini website ya Nacte haifunguki au ni routine marekebisho tunataka kuomba
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Naombeni mnisaidie kupata mawasiliano ya chuo cha ufundi veta Chang'ombe kwaajiri ya kujiunga na masomo kozi ya umeme jamani kwa yeyote anayeweza kunisaidia nikapata plz.
0 Reactions
10 Replies
14K Views
Kwa ufupi Kwa sasa bodi inaandaa mwongozo wa utoaji mikopo kwa mwaka ujao, mwongozo huo unatarajia kutangazwa rasmi wakati wowote kabla ya mwisho wa mwezi huu wa Julai. Dar es Salaam. Bodi ya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kuna dogo amechaguliwa kwenye hizi post za form 4 kwenda njoss, lakin pia aliApply nacte coz ya clinical medicine kwa hiyo anasubiri majibu NACTE. Kwa kua akichaguliwa chuoni masomo ataanza mwezi...
0 Reactions
12 Replies
9K Views
Back
Top Bottom