Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Matokeo yangu ni Division 3 point 25 Math D, Eng/science D,Kiswahil,D,Civics D ,Engls C ,Chemistry C na Biology C. Kwa Matokeo haya mimi napenda kusoma Diploma ya CLINICAL MEDICINE. Naomba...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Habarini wana JF. Kwanza nachukua nafasi hii kuwaombea kwa Mungu wanachuo wote wa vyuo vikuu na vyuo vingine ambao kwa sasa wengine wanafanya mitihani yao ya mwisho ya kumaliza semester hii au...
5 Reactions
18 Replies
1K Views
Habari za majukumu wakuu Nahitaji msaada toka kwenu kwa haya matokeo History D Kiswahili D English C Geography C Chemistry D Civics. C Physics C Bios C B/mathematics D Je? Kuna kusubiri second...
0 Reactions
5 Replies
905 Views
Wakuu naombeni kuifahamu juu ya course ya medical attendant na pia vyuo vipi wanafundisha pia kazi yake kubwa hospitalini ni nini?gharama yake je?
0 Reactions
17 Replies
10K Views
The Open University of Tanzania (OUT) is an open and distance learning institution with a mission to provide affordable quality education for all. The university has established a special unit...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Good morning. Mimi huwa nikiamkaga na ideas nakimbilia jamiiforums kushauri, naombeni mnisamehe kama nitawaudhi watu humu leo, but I'm speaking my mind.... Kama sijakosea, ninadhana kuna sheria...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Naomba mnisaidie kuyapata majina ya waliochaguliwa kujiunga katika ngazi ya Diploma March/April 2017.
0 Reactions
5 Replies
3K Views
WanaJF,naomba msaada wenu.Nahitaji kujua wapi hapa Dar kwenye kituo kizuri cha Tuition kwa ajili ya maandalizi ya kufanya mtihani wa kidato cha sita,Kwa masomo haya :- -Economic -Geography na...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
One of Africa's best kept secrets - its history - BBC News
1 Reactions
1 Replies
620 Views
mbona mnawapiga wanafunzi kwa kosa la kuchelewa kulipa michango ya tuition wakati hawana kosa?kosa la mzazi hasira mnamalizia kwa wanafunzi ? basi muwaite wazazi wao muwapige
2 Reactions
18 Replies
1K Views
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU WAHITIMU WA STASHAHADA KATIKA PROGRAMU MBALIMBALI WANAOKUSUDIA KUOMBA KUJIENDELEZA KATIKA NGAZI YA SHAHADA KATIKA VYUO VYA ELIMU YA JUU KWA MWAKA WA MASOMO 2017/2018...
4 Reactions
58 Replies
19K Views
Wanajamvi nimeshidwa kabisa kupata matokeo ya kidato cha nne mwaka 1996. So naomba msaada kwa anayejua nitayapataje?
0 Reactions
9 Replies
21K Views
Wakuu nahitaji kufahamu juu ya hii course hii unafanya nini kazi zake na vyuo vipi vinafundisha kwa mkoa wa dar,moro,pwani je vigezo vya kujiunga....
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mimi ni kijana wa mwaka wa kwanza nnasomea bachelor of education in PPM.NIMEPATA NAFASI YA KUFANYA TEACHING PRACTICE KATIKA CHUO CHA UALIMU MOSHI. NNAMINI WAZOEFU WAKO HUKU NINGEOMBA MNISAIDIE...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari zenu watu wa Mungu, Poleni Kwa majukum ya kila siku Leo ninahitaji msaada wenu wana Ndugu, jamaa, na marafiki Nina rafiki yangu wa karibu anataka ananiomba ushauri kuhusu kumpeleka...
0 Reactions
34 Replies
7K Views
Msaada wakuu kuna ndugu anataka asome chuo cha nesi akiwa na biology D bila kuwa na chemistry,physics je anaweza na kama inawezekana msaada wa hiko chuo
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wataalamu mbona website ya MUHAS haifunguki au tatizo liko kwangu. Tujulishane.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari natafuta mtu Wa IT nimehakiwa acc yangu ya Fb naomba anisaidie 0659557947 namlipa
0 Reactions
3 Replies
1K Views
wana jf hivi kwa comb ya HGL fcut nzur ni zipi zenye sokoo wakuu msaada
0 Reactions
3 Replies
716 Views
Ni course nzr au sio nzr kwa maish ya kujiajili....au nyingine nzr zaid ipi kwa business ...msaaad WanaJf
0 Reactions
2 Replies
934 Views
Back
Top Bottom