Habari wana jf....
Habari za wakati huu naomba kujua kuwa
KWA watu wa uhasibu kuna bodi mahususi kwa ajiri Yao bodi ya NBAA ambayo ina mfumo wao wa kujiendesha ...
PIA kuna bodi au school of...
Habari za mda huu wadau...
Naombeni mnisaidie, nina rafiki yangu ana diploma ya ualimu, na result slip yake inaonesha ana GPA ya 2.9, lakini kwenye cheti ameandikiwa PASS. Sasa anahitaji akasome...
Wakuu
Katika pita zangu mitandaoni, nimekutana na kitu kinaitwa "online course study" hapo ndipo nikaamua kufuatilia huu mfumo wa elimu niujue kiundani lakini nimeshindwa kuuelewa na kuniacha na...
Waziri wa TAMISEMI, George Simbachawene
Serikali imetangaza orodha ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na masomo ya kidato cha tano na vyuo vya ufundi kwa mwaka 2017 huku wanafunzi 2,999...
Wakuu nilichaguliwa mwaka jana kusoma chuo cha uhasibu T. I. A Mbeya kutokana na kukosa mkopo nikaacha masomo, je nikiomba mwaka huu sitapata usumbufu wowote kupata chuo kingine tofauti na T. I. A
Naomba kujuzwa hatua zote za kufuata kama machapisho, hariri za vitabu na zinginezo zinazofuata baada ya mwandishi/mtunzi kumaliza kazi yake. Na mahali kampuni zinazojihusisha na mambo hayo kwa...
Ndugu wanajamvi habari za jumapil. Naomba kupata picha kamili ya maisha ya Uganda kwa mwanafunzi anayeenda kujiunga elimu ya juu, tujikite katika bei za vyumba, vyakula, usafiri, na mitaaa rafiki...
habari wanajamvi! nimekuwa sina ueleewa mpana juu ya uwanja wa kujiajiri kupitia fani ya mechanic engineering zaidi najua mtu wa mechanic anaweza kujiajiri kwa kuwa fundi magari tu....je kuna...
Ndugu wanajf amani iwe kwenu!
Naomba msaada wa learning materialz ya CPA katika masomo ya C1 corporate reporting,
C2 auditing and assurance na C4 public finance and taxation II.
Mwenye kunisaidia...
Kwa wale ambao wako interested kujiendeleza kielimu in the U.S.
The Office of Public Affairs of the U.S. Embassy is pleased to announce that we are now accepting applications from qualified...
Wakuu msaada wenu.
Ni course gani nzuri kwa sasa ntakayo weza soma kwa mimi nilie soma masomo ya arts secondary ?
Kisw C
English C
Civ D
Bio D
History D
Geography D
Math F
June 27, 2017
Iringa, Tanzania
Chuo Kikuu cha Iringa ni moja kati ya vyuo vikuu vyenye sifa za kipekee Tanzania
Makala hii fupi inakielezea Chuo Kikuu cha Iringa, zamani Chuo Kikuu Kishiriki...
Ndugu zangu kwa wale wanaohitaji kusoma nje ya nchi na kuhitaji kufanya mitihani tajwa hapo juu naomba tuwasiliane kupitia namba 0712672210 na 0756047277 kwa maelezo zaidi. hakika mshikeni sana...
Shule binafsi zinapata soko kubwa sana nchini kwasababu watoto wanatiliwa mkazo kujua kiingereza. Siyo hilo tu hata chekechea siku hizi walimu wa mitaani wamegundua wazazi wanhitaji kiingeleza...
HMimi ni kijana niliyepangiwa shule ya kilwa sekondari kwa masomo ya kidato cha tano tatizo linakuja siijui kwa chochote naombeni wakuu mnipe mwongozo kuhusu hii shule kuanzia mazingira(uhuru)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.