Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Wakuu, Naomba msaada wa kujua masomo ya distance learning ndio inakuwaje??? Inahusisha masoma ya aina gani na mtu anaweza soma vipi? Ina uzito wowote katika maeneo ya kazi ama inatambulika na...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wanajf! Naomba kufahamu kama TIA tawi la Dar ( Kurasini) kama wanatoa fungu (fedha) la field ama la kwa mwaka wa pili, Accounting kwa mwaka huu, kwa wanachuo wenye mkopo wa asilimia 80...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ni muda mrefu sasa tangu serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kusitisha uhamisho wa watumishi wa Umma. Na katika kipindi hicho chote watumishi wamekuwa ni kama wako gizani kwani wanasubiri...
2 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari zenu wana JF, poleni kwa mihangaiko ya izi siku tatu kwanzia jumatano ,alhamis na leo ijumaa. Mimi nilikuwa naoma mnipe elimu kuhusu ili neno naliona kila kona ,snapchat,facebook, twitter...
0 Reactions
6 Replies
745 Views
Habari zenu wakuu, Swali langu ni kwamba inawezekana kufanya udahili hata kabla ya matokeo? Maana baazi ya watu wanasema mwisho wa udahili ni 13/08/2017
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari wakuu. Naomba msaada wa kufanya analysis ya time series data. Mimi ni mwanafunzi wa degree ya pili katika chuo chetu pendwa (department ya economics). Si kwamba sijui kuzifanya kabisa...
0 Reactions
1 Replies
944 Views
Inakuaje wakuu, hv ni vitu gani vinavyoweza kumfanya mwanafunz wa elimu ya juu kupoteza mkopo wake? Je ni GPA ndogo au? Majibu yetu muhimu tafadhar
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Jaman mimi ni kijana aliyehitimu kidato cha nne mwaka Jana ila nilimalizia Uganda na nimeleta matokeo Yangu necta nkapata equivalent results na nkapata dvn 2 ya hapa Tanzania sasa mzazi wangu...
0 Reactions
6 Replies
824 Views
Kwa yeyote mwenye mtoto shule ya wasichana Masasi bila shaka atakuwa anakumbuka vitimbwi vya huyu headmistress jeuri, kiburi, asiye na heshima na kauli chafu kama amemeza choo. Mama huyu akitoa...
2 Reactions
55 Replies
9K Views
Wakubwa kwema!! Kuna tetesi nimezinyaka kuwa ifunda tech inafungua tareh 30 july 2017 hiv kuna ukweli hapa? Najua wapo walimu hapa tujuzane
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hivi kuna ukweli wowote juu ya kufutwa kwa uhamisho wa 2016-2017 ambao ulisitishwa kwa muda?
0 Reactions
16 Replies
4K Views
jaman wanajf naomba msaada kwa anayeifahamu usevya high school na kama naweza pata join instruction nichake kwa namba 0712213082 tuwasiliane
1 Reactions
1 Replies
5K Views
Tujuzane wakuu ipi IPO nzuri zaidi
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Wakuu habari za usiku huu naomba mwenye uelewa juu ya vijana waliojiunga na jkt kwa mujibu wa sheria maana hapa Niko kwenye wakati mgumu kijana wangu alipangiwa jeshi kwa mujibu wa sheria na...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Naomba msaada kwa anayefahamu shule nzuri (Private Schools) ya kidato cha tano katika masomo ya sanaa katika mkoa wa Dodoma,Kagera,Manyara,Tabora na Morogoro.Ni vema ukanifahamisha ada ni kiasi gani.
0 Reactions
7 Replies
5K Views
HALI ya usalama kwa wanafunzi wa shule ya sekondari Tosamaganga wilayani Iringa mkoani hapa leo ilikuwa tete baada ya askari wa kikosi cha kutuliza ghasia kulazimika kutumia mabomu ya machozi kwa...
0 Reactions
14 Replies
5K Views
KWA WALIOSOMA TOSA, au wale ambao wameshafika, majengo yake ni mazuri sana, kwanza ukiondoa yale mabati ya juu, ukapiga vigae vya udongo vyekundu, nyumba zile zinafanana sana na nyumba za desturi...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Habari za majukumu ndugu zangu,sorry sana kwa usumbufu,but nilikuwa najaribu kutafuta mawasiliano ya chuo cha nursing tosamaganga iringa,kama namba za simu kwa ajili ya kutaka kujua ada...
0 Reactions
10 Replies
10K Views
Naomba ushauri nataka nikasome diploma ya mechanics!! Sasa sijui kama kwa upande wa ajira itakuwa poa au la!! Ushaur wenu muhuni kwangu
0 Reactions
2 Replies
797 Views
Nimeona baadhi ya matangazo ya baadhi ya vyuo vikuu ya kukaribisha maombi ya kujiunga na vyuo vyao kawa mwaka 2017/18. Kuna taarifa muhimu hawatoi zinazomwezesha mwombaji kufanya maamuzi. Taarifa...
4 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom