Kuna kitabu kimoja chenyewe jina lake silijui lakini muhusika alikuwa anajina la kibantu,na alipokuwa anasoma akajibadilisha jina na kulikatisha jina lake na kujiita BANTA GONTUMBA,alipoanza kazi...
Nimefanikiwa kuchaguliwa kujiunga na chuo cha st. Joseph pale Songea jiran kidogo na mji hivyo naomba wa Jf mliopo songea tufahamiane kwan m natokea Moshi na ni mgen. Natarajia kusafir kwenda...
Katika utafiti wangu mdogo sana nimegundua kuwa 99% ya wale Wanafunzi ambao Mashuleni na Vyuoni walikuwa na Sifa ya Kutukuka kuwa ni Wapiga chabo / Waibiaji kwa wenzao iwe katika Test au Exams...
Heshima na iwe kwenu wakuu,
Pls ningependa kufahamishwa ni chuo kipi ambacho kipo vizuri zaidi katika masomo ya clearing and fowarding hapa jijini Dar na hata gharama zake zikoje kwa level ya...
habati za wakati wanajamvi? ama baada ya salamu napenda ku share na wana JF wenzangu materials kwa combinations tajwa hapo juu waweza pitia hayo materials by the time being nimeanza na kipart cha...
Tumezoea sana kutumia neno "darubini" kwa maana ya kifaa kinachotumika hospitalini kwa ajili ya kuchunguzia vijidudu.
Lakini ukweli ni kwamba, hiyo si "darubini" bali ni "hadubini". Tazama picha...
Wanajamvi naomba ushauri wenu niliomba chuo nacte mwaka jana na liichaguliwa ila sikwenda na mwaka huu nataka kusoma chuo kingine kwani kile cha awali nilishindwa kutokana na uchumi na matatizo ya...
Kwanini baraza la mitihani Tanzania(NECTA) halina matawi katika majiji achilia mbali kuwepo mikoani yani ili nibadilishe cheti changu nahitajika kusafiri mpaka Dar
Kama alivyosema Nyerere, tutachimba madini yetu tukiwa na uwezo. Uwezo ni training our people in that capacity! Tuache PhD za traditional Doctrinal research method.
angalia huyu hapa chini:PhD...
Kuna watu wanasema kuwa lugha ya kufundishia kwenye mfumo wetu wa Elimu iwe Kiingereza kwa sababu Kiingereza ndo lugha ya dunia na uandishi wa vitabu mbali mbali na ugunduzi wa technologia...
Wakuu habari zenu,
Natafuta jinsi ambavyo NECTA wanapanga mashule na hatimaye kupata shule iliyofanya vizuri kuliko zote. Pia nataka kujua namna ya kucalculate average school GPA.
Kama kuna...
Nipo hapa nyumbani naendelea kuisogeza siku hii ya tarehe 01.01.2017.
Ghafla nikaikumbuka shule hii ya sekondari Milambo iliyopo mjini Tabora,takribani kilomita 2 tu toka kituo kikuu cha mabasi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.