Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Wakuu habari zenu!;Hili jina(Ndalichako) nlitokea kulifaham Kiundani na kusmbua akili yangu nkiwa Form Six nikijiandaa na mitihani baada ya kutuchanganyia madesa !!Hivi tangu Awe madalakani...
2 Reactions
55 Replies
4K Views
Naomba msaada jinsi ya kuandika barua ya kuomba nafasi ya kuhamia halmashauri fulani kwa kubadilushana na mtu mimi ni mwalimu
0 Reactions
27 Replies
18K Views
Kwenye Kiswahili hakuna neno "kupelekea". Hili ni moja ya maneno yaliyopata mashiko siku hizi lakini ukweli ni kuwa hiyo ni "broken language". Mfano: 1. Tatizo hili limepelekea kila mtu...
3 Reactions
6 Replies
898 Views
Ukiwa na swali lolote au ukihitaji msaada katika kiswahili kuanzia kidato cha kwanza hadi cha sita unaweza ukasaidiwa hapa kadri itakavyowezekana.Ningependelea sarufi kwa mrejesho wa haraka.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nakupongeza kiongozi wangu kwa kunijali kwa Kweli Siiijutii kura yangu see you 2020
3 Reactions
119 Replies
9K Views
NAFASI YA CHUO KWA WAHITIMU WA KIDATO CHA NNE/ SITA Contacts: Lemburis Kivuyo 0755646470 NDALA, SHINYANGA: PLOT NO. 91, BLOCK HH Postal Address: P.O. Box 1016, ShinyangaWebsite: Email...
0 Reactions
9 Replies
16K Views
Katika mambo ya utawala na menejiment (administration and management), kuna istilahi mbalimbali zinazohusika ambazo huenda hazijajulikana kwa wengi. Kwa mfano: 1. Mrejewa – referee...
0 Reactions
1 Replies
824 Views
Wadau msaada ivi maombi ya vyuo kwa mwaka 17/18 yameanza???? Na utaratibu ukoje
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Jamani mwenzenu nimepotelewa na vyeti vyangu vya taaluma,ninaweza kutengenezewa vingine? wadau kama mada inavyosema,nimepoteza vyeti vyangu vya kidato cha nne na sita. Je nawezaje kuvipata,ni...
0 Reactions
107 Replies
40K Views
Habari za jioni, mko poa? Jumapili shwari? Bas fresh!! Swali langu ni hili, Mimi ni muuzaji wa Umeme kupitia selcom, sasa wanaonunua Umeme ni watu tofauti tofauti, swali liko kwenye usomaji wa...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Habari wanajamii na poleni kwa mihangaiko ya kila siku katika kuliendesha taifa.Shida yangu kubwa ni kwamba mwaka jana niliomba chuo kupitia kwa kutuma maombi nacte ila kwa sababu za kifamilia na...
0 Reactions
3 Replies
791 Views
Naomba kujuzwa hivi hawa wanafunzi waliochaguliwa awamu ya pili na hawajapangiwa shule wala combination (tahasusi) je watapangiwa kabla ya muda wa kujiunga kidato cha 5 haujafika? Ama wanasubiri...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Heri ya Ekaristi takatifu. Mimi ni Mwl wa Geography na Philosophy. advance nimesoma EGM, nikapangwa shule ambayo haina Mwl wa hisabati hivyo nikajitolea kufundisha hesabu f1-4! sasa tarehe...
1 Reactions
10 Replies
991 Views
Guyz hivi hii kozi ya health recording na health development ina husiana na nn na jeinahitaji vigezo vp, karibun mnisaidie kwa mawazo
0 Reactions
1 Replies
868 Views
nina diploma ya crop production na napenda kuwa engineer wa irrigation,kuna vyuo viwili vinavyo toa bachelor hiyo ingawa ziko tofauti. vyuo Hivyo ni ATC cha arusha wao wanatoa BACHELOR OF CIVIL...
0 Reactions
29 Replies
6K Views
Habari wana jamvi Nauliza vyuo gani bora kwa kozi za kilimo kwa mwanafunzi anayetaka kusoma certificate ya general agriculture? Pia namna gani rahisi ya kupata ufadhili wa serikali ukiangalia kwa...
0 Reactions
35 Replies
10K Views
Samahan wadau naomba mwenye link ya ku download kitabu cha ANATOMY AND PHYSIOLOGY by Willson and loss
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Na mdogo wangu amechaguliwa PCB sina Joining instruction, msaada tafadhali kwa anaye fahamu mahitaji ili niweze kufanya maandalizi,tarehe ya kuripoti ni july 2014.
0 Reactions
3 Replies
7K Views
1. Electromagnetism: *It look time and patience to learn this properly, and even then, I'm confused when to use the left-hand rule. But it's more interesting than other topic definitely 2...
1 Reactions
36 Replies
8K Views
Mwaka huu naona kam utaratibu ume badilishwa kwa sababu kwa miaka mingine flat C kwa masomo ya science en D ya math ilikuwa ni kawaida bt mwaka huu kuna watu wamekosa nafasi za kuchahuliwa kusoma...
0 Reactions
11 Replies
6K Views
Back
Top Bottom