Bila shaka wana Usagarian Mpo na mnapita hapa JF.Kupitia kona hii mwaga data unakumbuka nini juu ya shule hii.Mfano binafsi nakumbuka ushirikiano miongoni mwa wanafunzi na walimu,je wale waliokuwa...
Habari za mida wakuu,
wakuu nina ndugu yangu amehitimu kidato cha nne kwa mwaka 2015,alipata iv ya 26, je kwa wakati huu anaweza kukubaliwa maombi katika chuo ualimu wa primary cha serikali?
Heshima kwenu wanajukwaa!
Kuna binamu yangu amepangiwa mchepuo wa PCM shule ya Tosamaganga, sasa shida yake iliyonifanya kuleta uzi anaomba kujua vitabu gani vya kununua kabla hajaenda shule...
Wakuu salama?
Najaribu kufikiria je kuna mtu kampuni au watu wanaofundisha topics mbali mbali za CPA final stages kwa njia hii ya CDs?
Kama bado walimu wa reviews hii ni fursa kwenu.
Kama...
Watanzania wanajua nini kilitokea baada ya ripoti ya uhakiki wa vyeti vya taaluma yani kidato cha nne na sita kutolewa ikiwa ni baada ya kusitisha ajira mpya, nyongeza ya mishahara, kupandishwa...
Pesa hii ni haki yao lakn mpaka sasa wanaanza mwezi wa pili makazini bila kulipwa pesa yao ya kujikim serikal inafikiria nn juu ya hili?? kwenye tangazo la ajira lilionesha matumaini kua pesa ipo...
Wakuu, salaamu.
Kwa wale waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano 2017/2018 katika shule ya sekondari Bukongo iliyopo wilayani ukerewe, chukueni joining instruction letter hapa...
Kuna mwl.wa bachelor degree anatafuta kazi ya kufundisha kwa shule za sekondari.
Anahitaji msaada wako, ikiwa unahitaji au unafahamu shule yenye uhitaji wa mwalimu.Masomo anayofundisha ni HISTORY...
Taasisi ya *Pamoja Foundation* inatangaza nafasi za ufadhili wa masomo ya kidato cha tano kwa mwaka 2017 kwa wanafunzi waliotimiza vigezo vifuatavyo:
1. Awe amehitimu kidato cha nne katika shule...
Kuna kipindi Mungai akiwa waziri wa Elimu aliunganisha baadhi ya masomo. Baadaye Yale masomo ya chemistry na physics yakatenganishwa tena.
Baada ya kutenganisha kylitoka Waraka naombeni mnisaidie...
Samahani wakuu,, kuna mdogo wangu amechaguliwa kwenda form five kwa mchepuo wa HGK Ruvu girl's high School Lakini yeye anataman asome science mchepuo wa CBG na tayari ameishasoma tuition yamasomo...
Sijui kama na wewe unapenda mashairi (poetry) kama mimi. Ngoja nikuwekee shairi moja la William Blake liitwalo A Poison Tree, yaani Mti wa Sumu. Nimejaribu pia kuweka tafsiri yake kwa Kiswahili...
Pana blog moja inafomu za mwak Jana ni feki
Ni upuuzi kuweka files za zamani Na kubenefiti downloads
Nashauri wanaodownload fomu za kujiunga fv waachane na fomu za mtandaoni tena blog isiyo...
Wanafunzi wa kidato cha sita waliohitimu mwaka huu May 2017 takribani 14,747 sawa na asilimia 23.2%, wamepangiwa katika vituo mbalimbali vya Jeshi kati ya wahitimu 63,623, wanatakiwa kufika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.