Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Wakuu mbona course ya community health kila nikiangalia hamna Diploma yake wala degree napata mashaka kuapply maana bado sijaielewa kama kuna mtu anaifahamu kiundani anisaidie
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Ni walewale fortress academy waliofanya vizuri na wanaendelea Fanya vizur kuwezesha vijana kufanya vizur kwenye masomo yao... Sasa tumewaletea tena vitini special for advance kutokana na...
0 Reactions
0 Replies
642 Views
Habari wana jf Ni matumaini yangu sote tunaendelea vizuri na majukumu yetu mbalimbali yanayotukabili. Lakini pia hatukosi muda wa kukutana hapa jamvini na kupeana mambo kadha wa kadha. Leo hii...
2 Reactions
14 Replies
3K Views
Habari za muda huu wanajukwaa, Kama kichwa cha thread kinavyojieleza,naombeni mnisaidie juu ya suala nzima la kutuma maombi KIST. Je,ni kwa barua,kwenda moja kwa moja chuoni au vipi? Sijaona...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Naarifiwa kuwa vijana wamegoma!!! Sababu sijadokezwa. Mwenye habari mjazo ajazie hapa.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari wadau naimba kuuliza tu! Mimi ni mgeni wa hesabu yaani nahisi kama sijaumbiwa kusoma hesabu, je kwa wale wazoefu naomba kuuliza mahesabu yapo mengi kwenye kozi hii kwa sababu naipenda sana...
0 Reactions
34 Replies
10K Views
Given R1=40 with tolerance of 3% and R2=30 with tolerance of 9% find total resistance a) in series b) in parallel
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Naombeni mnisaidie mpngilio wa kazi kutokana na Kombi hizi HKL HGL HGK
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Naombakuuliza ya kuwa lini matokeo kwa walio apply vyuo vya ufundi yatatangazwa?na je yatatangazwa kwa njia gani?majibu yeu ni msaada tafadhari.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
husika na mada hapo juu jee ni chuo/vyuo gani vinavyotoa masters za ukaguzi wa elimu hapa tanzania na je?? ada zake zikoje??
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Salaam, Kijana wangu Kachaguliwa Kujiunga Kidato Cha tano Shule hii Kusomea Mchepuo wa HKL..... Kama Kuna yeyote anae ifahamu while hii anisaidie yafuatayo: 1. Je, shule ni ya mchanganyiko? 2...
0 Reactions
14 Replies
6K Views
Mnisaidie mawasiliano ya shule ilboru arusha ikiwezekana namba ya headmaster
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Jamani nimechaguliwa lugoba high school naitaji kujua namna ilivyo
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Kama kuna mtu anae weza pata joining instructions ya karatu High school naomba anitumie whatsapp kwa mamba 0753868912
0 Reactions
4 Replies
7K Views
Please mwenye maswali yanayohusu enzymes kwa kidato cha sita from past papers anisaidie hata matano tu nione namna ya detailed questioning???
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Hellow there, natafta chuo kinachotoa Degree ya IT au related field course, kwa mwanza Mwenye kujua anijuze tafadhari Naomba kuwasilisha
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Je awamu ya pili ya wanafunzi wa kidato cha tano watakaochaguliwa kwenda kusoma watachaguliwa wote kama walivyoowaorodhesha?? Kama wote ni muda gan watawapanga hawa awamu ya pili???
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Natafuta shule ya private A-level yenye comb zifuatazo:CBG,CBM,EGM Zilizopo Rukwa au mbeya ikibidi na gharama zake kwa bweni.Msaada please nataka kupeleka wanafunzi.
0 Reactions
8 Replies
16K Views
Wakuu wenye uwelewa wa material ya THL anieleweshe juzi nimetumia saiv naambiwa nilipe account expired. Inakuaje wakat natumia online bando langu linaisha?
1 Reactions
7 Replies
7K Views
Back
Top Bottom