Habari za mida, naomba kujuzwa nia na madhumuni ya serikali kwa kufanya hivyo kwa mwaka huu maana wanafunzi wingi ninao wajua ambao walijaza kutaka kupelekwa vyuo vya ufundi wamepata tena kwa...
MHE. RAIS VITABU VYA TAASISI YA ELIMU NI VIBOVU KWELI
Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi iliunda tume ya kuchunguza ubovu wa vitabu vya Taasisi ya Elimu na kwa nini ilitokea hivyo.
Mhe...
MHE. RAIS VITABU VYA TAASISI YA ELIMU NI VIBOVU KWELI
Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi iliunda tume ya kuchunguza ubovu wa vitabu vya Taasisi ya Elimu na kwa nini ilitokea hivyo.
Mhe...
Salaam wakuu?
Natumaini ni wazima
Naomba mnijuze juu ya kozi hizi
~transport and logistic
~iformation technology
~land evaluation
Katika maswala ya priority ya Mkopo, chuo husika, changamoto...
Habari za majukumu wana jf??
Rejea kichwa cha Habari hapo juu
Nilikuwa naomba kwa yoyote mwenye taarifa kuhusu hii shule anijuze...
Maana kuna ndugu yangu kapangwa hapo na alitamani sana kupata...
Salaam wakuu?
Naomba kujua mambo muhim ya kizingatia katika kufanya application za chuo juu ya I'll kupata kile ninacho kia apply na kuepuka competition katika coz ninayo hitaji wakuu...
Tuliambiwa UJENZI itakuwa umekamilka Machi na leo ni Juni. Uchaguzi wa wanaoingia darasa la 13 umefanyika na haionekani kama hizi shule zimepangiwa watu.
Wahusika wa haya mambo mazuri watusaidie
Morning umu ndani!
Jamani naomba kuuliza nawezaje pata kile kitabu cha course za vyuo vikuu Tanzania au ni zipi course nzuri ambazo dogo anaweza kusoma kwa watu wa arts apart from education...
Habari wana JF toka selection zimetoka mpaka Leo kichwa changu hakijakaa sawa, shida nilo nayo ni kwamba nimepangwa PGM ifunda tech lakini asilimia kubwa ya walimu ya shule nilomalizia wananambia...
Wanafunzi takribani 67 wameteseka kwa kukosa mkopo muhula huu mpaka sasa wakipigwa dana dana za hapa na pale kutoka kwenye uongozi wa chuo na bodi ya mkopo kutokana na janga hilo imewalazimu kutoa...
Wakuu, heshima kwenu! Nina mtoto wa mdogo wangu anasoma hapo UDSM mwaka wa kwanza. Alibahatika kupata mkopo, lakini namlipia malazi.
Kinachonishangaza ni kwamba tangu semister hii ianze mpaka...
Bonyeza link kuyaona TAARIFA KWA UMMA JKT IMEONGEZA ORODHA YA MAJINA YA VIJANA WALIOHITIMU KIDATO CHA SITA MEI 2017 KWA AJILI YA KUHUDHURIA MAFUNZO YA MUJIBU WA SHERIA MWAKA 2017
Kwa anayefahamu tarehe rasmi ya kuripoti BUKONGO sec school iliyopo Mkoani mwanza, ukerewe
Kwa maana kwenye join instruction yao hawakuandika tarehe ya kuripoti na ukisema usubir mpaka ziletwe...
Nipo serious nakumbuka nilikuchagua raisi wangu Alafu usiniajiri kwa Kweli utakua hujanitendea haki rais wangu japo Sina chama Ila nilikuamini Sana raisi wangu Naomba uniajiri kama Mimi nilivyo...
Nawasalimu wakuu nakuwatakia amani na salama kutoka kwa yule mnae mwamini.
Kama mnavyojua,mwishoni mwa wiki iliyopita NACTE ilifungua dirisha kwa waombaji katika kada za ualimu na afya.
Nikasoma...
Bila shaka hatujambo humu, Niko na shida ya mahitaji ya barua ya kubadilishana kituo( particulars) ni vitu gani hasa huambatanishwa, na pia nianzeje (steps) tafadhali kwa yule aliyewahi kuandika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.