Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Kuna kijana hapa mtahani ila amesoma tuition advance na alimaliza 4m 4 mwaka 2011 sasa anataka afanye mtihani wa six je atumie utaratibu upi aweze kufanya mtihani?, na je atafanya kama PC au SC...
0 Reactions
3 Replies
962 Views
Wana JF vitabu gani vinahusika na hii combination ya HKL?
0 Reactions
30 Replies
11K Views
Naangalia RAUKA KIDS Citizen Tv , Kenya, these small kids are so fluent in English mpaka naona wivu wa maendeleo. Je sisi watoto wetu wanashindwa wapi? Kama wazazi/walimu tunakosea wapi?
0 Reactions
3 Replies
706 Views
Ndg wanajukwaa kuna ndg yang mmoja ni mwajiriwa lakini mhitimu wa form four 2010, anataka kusoma Advanced level huku anaendelea na kaz, Je inawezekana kusoma tuition then akaenda kufanya mtihani...
0 Reactions
3 Replies
937 Views
Mimi kama raia wa kawaida nimegundua kuwa baadhi ya wanaojiita wasomi hapa bongo wengi wao mikononi wanavyeti kichwani wamejaa sex! pamoja na hayo haya mambo ya vyeti vyeti hayajawahi kumuacha mtu...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari jamani, hivi nifanyaje nikitaka kupata idadi na mahali ilipo listi za mizani ( weighbridges) ipatikanayo nchi za africa mashariki kwa kutumia mtandao, maana nimegoogle mpaka vidole vimeota...
0 Reactions
3 Replies
941 Views
Habari wana jamii, ninahitaji kuifahamu vyema shule ya Nsumba. Nahitaji dondoo za mazingira, ufundishaji, na zamu.
1 Reactions
36 Replies
9K Views
Habarini wapendwa, poleni kwa shughuli za kulijenga taifa. Nadhani kichwa kinajieleza vizuri.. Nina ndugu yangu amepagiwa combination ya EGM sasa yeye anataka kwenda kusoma CBG, naombeni mwenye...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Nimemaliza form 4mwaka 2016 nakupata 2 ya 20 MATOKEO NI KAMA IFUATAVYO ,chemistry C,biology,B, Phisics C,EnglishC,GeographC,kiswahiliC,CivicsC,historyC,MathF Je kozi ya clinical medicine...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
mimi nimehitimu kidato cha nne 2015 na kupata ufaulu wa Div III.25 CIV D ENG C PHYS D HIST D CHEM C KISW D BIOS D GEO D B/MATH C nikaomba ualimu wa shule ya msingi ktk chuo cha kumbukumbu ya...
0 Reactions
10 Replies
953 Views
Naomba kuuliza Tz ina shule za serikali zenye kidato cha tano na sita ngapi? Maana kwenye kumbukumbu zangu kwa waliochaguliwa advance 2013 na 2014 walikuwa chini ya 53,000 na 55,000.Hapo wenzao...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Habari naomba kwa msaada kwa anayeifahamu vyema shule ya Engutoto Monduli Arusha
0 Reactions
1 Replies
867 Views
Habari zenu wakuu.... Mimi ni mhitimu wa kidato cha nne mwaka jana, ninapenda kujiunga na fani ya uhigadhi wanyama pori katika chuo cha wanyamapori MWEKA au PASIANSI. Nimeshafanya application...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari wakuu.. Kuna binamu yangu kamaliza four 4 mwaka jana, Hivyo anapenda mwaka huu ajiunge na chuo cha mifugo (LITAs) ili asome astashahada ya Animal health and Production. So mwenye infos...
0 Reactions
15 Replies
6K Views
Nitangulize salamu kwa wakuu wote wa jukwaa hili la elimu, Bila kupoteza muda nilikuwa naomba msaada wa mawazo juu ya hili Kuna dogo mmoja amemaliza kidato cha nne mwaka Jana ila matokeo yake...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Natafuta database ya wanafunzi 1. Form four 2. form six 3. Chuo. Database iwe na taarifa zifuatazo 1. Jina la mwanafunzi 2. Anuani ya Posta 3. Mkoa 4. Wilaya 5. Namba ya siku. 6. Email 7. Shule...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mfumo wa udahili wa pamoja kwa njia ya mtandao ulitengenezwa kutokana na tafiti zilizofanyika kuhusu manufaa yake katika kuwapunguzia wanafunzi na wazazi gharama za kutafuta, kuomba, na kujiunga...
5 Reactions
91 Replies
8K Views
Amani ya bwana iwe nanyi nyote! Kwa wale tuliobahitika kusoma utawala wa awamu ya tatu kushuka chini,endapo ungepata fursa ya kutoa maoni ya kupendekeza hadithi zinazostahili kusomwa level ya...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari Wana Jf, Naomba Kwa Anaejua Faculties za chuo kwa waliosoma combination ya EGM. ahsanten!!
0 Reactions
9 Replies
8K Views
Back
Top Bottom