Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Habari za muda huu wakuu, Bila kupoteza muda,nina mpango wa kusomea stashahada ya Civil Engineering kwenye chuo chochote cha Serikali. Lakini tatizo ni ada zao,siwezi kujilipia kabisa labda...
0 Reactions
5 Replies
970 Views
Habar zenu wadau. Nimemaliza bachelor ya Uchumi mwaka 2016 hapa Mzumbe. Natamani kusoma Masters ya Afya (Masters of Science in health economics and Policy managrment) na katika kutafuta ndio...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani kwa yeyote ambae ama amesoma au anapafahamu Makiba Secondary School naomba anijuze wakuu ikoje kitaaluma na mazingira kwa ujumla. pia kama wewe ni miongoni mwa waliochaguliwa Makiba sec...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Nimefanya utafiti kidogo Juu ya utendaji wa Wasomi wa kitanzania.Walio wengi wanaamini alichojifunza Chuoni ndio atakachokifanyia Kazi. Ukweli uliopo sio., matokeo yake wasomi hao wamekuwa...
1 Reactions
3 Replies
827 Views
Jamani nimesikia habari kwa baadhi ya walimu wa Lushoto mara hii mkurugenzi wa wilaya hiyo amezuia likizo na walimu wanaendelea kufundisha kama kawaida mpaka Tar 23/6/2017 ndio wafunge na...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Natanguliza salam waungwana kwenu nyinyi, kwanza mimi ni new member nilie hitimu mtihani wakidato cha sita mwaka jana(2016) katika combination ya pcb ambapo nlipata alama kama zifuatazo katika...
0 Reactions
57 Replies
6K Views
Wakuu niaje! Nahitaji msaada mwenye vitabu vya mathematics Form Two, three na Four vya hapa Tanzania au kenya au uganda anipe msaaada plz navihitaji zaidi ya sana. Asanteni
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari! Nauliza hv kama una PHD,na bachelor degree ulipata lower second class unaweza kufundisha chuo kikuu? Kwa anayejua naomba anifahamishe!
0 Reactions
17 Replies
43K Views
Kwa waliosoma Mbeya university of science and technology mwaka 2000 hadi 2006 Kipindi hicho ikiitwa Mbeya technical college (MTC) naomba kwa aliye na matokeo ya FTC mwaka 2004 anisaidie.
1 Reactions
0 Replies
1K Views
TANGAZO MUHIMU! TCU imetambulisha mtihani unaoitwa "Recognition of Prior Learning(RPL)" kwa wale wote waliokosa vigezo vya kujiunga na degree Mtihani unafanyika chini ya TCU kwa vituo...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Salaam wana JF, Kama mada inavyodokeza, mimi niliwahi kuajiriwa serikalini kama mwalimu wa secondary kwa muda wa miaka minne. Baada ya hapo niliomba ruhusa ya kwenda masomoni kujiendeleza. Mara...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Hii ni kozi ambayo ipo Under VETA.Admission requirements At least uwe na Pass 1 ya somo lolote.Utafanya LEVEL I,LEVEL II AND LEVEL II.more information 0755 459 049
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu habarini za asubuhi...!!! Nina shida ya kupata chuo cha afya au ualimu kwa ngazi ya cheti. Matokeo ni div four point 27, nina F ya Physics, D ya Chemistry na C ya Biology. Nilitaka kupitia...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari za muda wanajukwaa! Bila kupoteza muda,nimepitia Guidebook ya NACTE kwa upande wa kozi za Engineering na kukuta vigezo na maelezo juu ya ada za kozi tofauti tofauti. Nimeangalia KARUME...
0 Reactions
27 Replies
8K Views
Kunadogo amemaliza form4 mwaka 2014 alipata 1.4 pass C=geo C=kiswahili C=english C=bios D=math D=literature E=civics E=history Anaomba ushauri wa chuo aende chuo gani ambacho anaweza kusoma hadi...
0 Reactions
4 Replies
854 Views
Naombeni tuchangie hatma ya TCU juu ya kufutwa kwake.. ---------- Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ameiagiza Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) kutowachagulia vyuo...
2 Reactions
283 Replies
27K Views
Habari yenu, Serikali kupitia wizara ya elimu na mafuzo ya ufundi imefanya selection ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na mafunzo ya ualimu special diploma UDOM ambao hawajachaguliwa kidato...
2 Reactions
752 Replies
182K Views
Naombeni Msaada wa maelezo zaidi. TCU wametoa hili tangazo Invitation to apply for recognition of prior learning (RPL) Examinations as a pre_requisite to join degree programmes into higher...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
habari...sio mara ya kwanza kupost humu jukwaani... nimehitimu kidato cha 4 mwaka 2011 kipindi hicho wazo langu lilikua kusomea kozi ya utangazaji wa radio na tv yaan kua Mwandishi wa habari...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom