Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Tujuzane na kupeana taarifa kuhusu chuo,mpaka siku ya kuripoti ifike
0 Reactions
14 Replies
4K Views
True Ink Associates would like to Announce that the Third CISA (Certified Information Systems Auditor) Review Classes is scheduled to commence on Monday 20/04/2015, and it will be conducted in...
0 Reactions
69 Replies
6K Views
Wadau wa JF naomba msaada mwenye JOIN INSTRUCTION ya Same High School anisaidie Au namba ya simu ya mkuu wa shule ya same high school au Barua pepe
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Ili kuongeza Ufaulu wa Mwanao kwenye Somo la Hisabati (Mathematics) kwa aliyeko shule za Msingi fanya mambo yafuatayo: 1. Hakikisha unamsimamia vizuri mtoto wako afahamu kwa kuzishika kichwani...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Nimekuwa nikifuatilia ndege za abiria utakuta zinaendeshwa na marubani 2 .ni kwann ? Je dereva mmoja akifa njiani yaani angani je mmoja awezi ongoza ndege? Na kwann usikani wa ndege ni wavipande...
1 Reactions
13 Replies
5K Views
Nin div 3 English c Kiswahil c Math f Engineering science d E.engineering d Elec science d Elec drafting c Elect installation d Chemistry d Civics d Ni chuogn cha ufund nitachokupata
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Sasa Imewekwa wazi kwamba wahitimu wa shahada masomo ya sanaa matumaini yao kuajiriwa ktk shule za serikali ni kama Ngamia kupita katika tundu la sindano. Tangazo la kwamba kuna ziada ya waalimu...
2 Reactions
38 Replies
5K Views
Sisi kama walimu wa sanaa tuliokua tunasubr ajira mpya tumesikitishwa sana kwa kubaguliwa na ajira kutoka tu kwa walimu wa sayansi. Ni bora serikali ingesema toka January 2016 kwamba ajira itakua...
31 Reactions
257 Replies
35K Views
1. Wahadhiri Hawa ni wasomi na walimu wa wasomi wa elimu ya juu. Ni watu wenye uwezo mkubwa kiakili. Wamejielekeza kwenye tafiti. Utafiti usio rasmi unaonyesha mapungufu makubwa ya wasomi hawa ni...
4 Reactions
19 Replies
3K Views
Msaada: Mtu aliyesoma HGE a'level,pia akiwa na Dip in Educ,BA-Geography&Environmental Studies and MSc. in Natural Resoures Management anaweza kupata Postgraduate Diploma in Geomatics hapo ARU?
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Leo ndio hule mchakato wa kupiga kura ya kuchagua viongozi mbalimbali katika chuo kikuu cha Taifa /makao makuu ya vyuo vikuu Tanzania-UDOM unaanza kupitia programu ya mtandaoni ya wanafunzi udom...
0 Reactions
13 Replies
5K Views
somo la hesabu limekua chukizo Kwa wanafunzi wengi dunia nzima, hali hii huwapa ugumu walimu WA somo hili kwakua wanafunzi hulichukia sana. Mwalimu Mmoja huko afrika ya kusini ameamua kutumia...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakuu naomba kujua tofauti kati ya ordinal diploma na advanced diploma na jinsi zinazotumika sasa ivi.. [emoji5]
3 Reactions
1 Replies
3K Views
Waungwana nina binti yangu kamaliza kidato cha nne mwaka jana 2016,kafaulu vizuri masomo ya sayansi. Nimeona nijiongeze tu kumpeleka shule ya private kwaajili ya form five. Nilijitahidi mwezi...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Tume ya vyuo vikuu Tanzania imetoa tamko rasmi juu ya mfumo mpya wa udahili kwa mwaka wa masomo 2017/2018 kama ilivyoagizwa na Mh. Rais. Tazama HAPA ------ Unaweza kushiriki mjadala wa...
3 Reactions
212 Replies
44K Views
Habari za asubuhi wapendwa. Mara nyingi nimekua nikijiuliza utofauti uliopo baina ya chuo huria ambacho unasoma ukiwa nyumbani na vyuo vya serikari na binafsi ambavyo mwanafunzi anaingia darasani...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mwenye kufahamu kuhusu ule mtihani wanaoutoa NACTE unaoitwa R.P.L unatolewa au ulifutwa ? Mwenye kufahamu juu ya hili
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hbr wadau Mimi nina ndoto za kwenda kusoma nje hasa mataifa ya ulaya na Asia. Kwa mwaka huu nimekwisha omba vyuo vingi hasa Australia, Norway, UK na China. Changamoto kubwa kwz vyuo vya ulaya...
2 Reactions
7 Replies
3K Views
Nimestushwa na taarifa ya serikali kutaka kujenga chuo kikuu kingine cha Kilimo katika mkoa wa Katavi, kama ilivyoandikwa kwenye gazeti la Majira la leo. Sababu ya mstuko huo ni hali mbaya ya vyuo...
7 Reactions
25 Replies
29K Views
Back
Top Bottom