Kijana amemaliza Form4 anataka aje asome degree ya Comput. Science au ICT. Ana njia mbili moja ni kupitia Ordinary Diploma na nyingine kupitia Form6 (Advance). Je hisibati za diploma ni msingi...
Kumekuwa na hii tabia ya watu kuwa wanafiki saàna kuhusu swala la walimu wa Sanaa kukosa ajira....imefika hatua eti mtu aliyepata division 4 ya kubahatisha nae anakucheeka bila kufikilia alikuwa...
"Hakuna mtu aliyezaliwa akimchukia mwingine eti kwasababu a rangi yake, au asili yake au dini yake.Watu hujifunza kuchukia, na kama wameweza kujifunza kuchukia, wanaweza kufundishwa kupenda, kwa...
Wasomi naomba mnishauri plz Kati ya hizi kozi ipi ni nzuri nisome kwa lengo la kujiajiri Au kuajiriwa? Nahitaji mchango wa mawazo yenu waungwana plz.
01. Bachelor of law
02: bachelor of social...
Watanzania, natumaini sote tumeguswa na ajali ya Lucky Vincent na haitakuwa vyema kuisahau, maana waliopoteza watoto wao hawatawasahau na kamwe ajali hii haitafutika katika akili zetu kila...
Mim nikijana niliye maliza kidato cha sita nanilitaman kusoma maswala ya utalii. Ila sijajua mgawanyiko wa course hiyo. Naomba anaye faham au ambaye ana soma course hiyo anisaidie kwa ufafanuzi wa...
Tujuzane hapa updates za selections [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Form five selection ni lini jamani. Kuna shule za private zilianza masomo ya a level March, 2017!. Za serikali mpaka leo hata...
Habari Wananzengo(wananchi)
Niende kwenye Mtizamo Moja kwa moja,Wakuu nimekua kidogo na ka ulevi ka kusoma Vitabu mbalimbali hasa baada ya kubaini kuwa elimu ipo popote na siku zote unatakiwa...
Habarini wana Jukwaa,
Napenda kusaidiwa kufahamu ni course gani zinaweza kuwa msaada mkubwa kwa mtu aliyesoma Bachelor Of Arts With Education (BAED) katika masoma Linguistics & Literature, katika...
Oxford University introduces a compulsory exam for history students featuring black and Asian affairs after protests over 'white' curriculum
Oxford undergraduates will now have to take a paper on...
Salaam wakuu
Kuna kitu nakiwaza na mwenye kujua historia aje atuambie
Ni kuhusu wanasayansi waliofanya classification( scientific classification) kuhusu miti,wanyama na wadudu
Kitu ninachojiuliza...
Ndugu zangu Wanajamii Poleni na Majukumu Yenu ya kila siku!
Lengo la Kuandika uzi huu ni kuelezea Hisia zangu kuhusu kero hii nnayokutana nayo!
Kimsingi Mimi ni Mwanafunzi wa Civil Eng.
Sasa...
Wakuu naomba kuuliza chuo cha veta chang'ombe kilicho dar es salaam kuwa usajili unaanza lini kwenye long course ya umeme na wanachukua vigezo gani vya ufaulu kwenye course hiyo
Ndugu wana jamii forum habari za wakati huu poleni na majukumu tafadhari naomba kuwasilisha mimi ni miongoni mwa wanafunzi walioathiriwa na mfumo mzima wa mafunzo ya ualimu elimu ya msingi Mwaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.