Salamu.....
Ndugu Tutors wa course za ICT kwenye college za afya, mim ni Mwalimu wa ICT niliyepangiwa kufundisha Module ya ICT kwa wanafunzi wa Diploma ya Pharmacy katika chuo cha afya hapa...
Wanafunzi wengi wa Primarily na Secondary wamekuwa hawafanyi vizuri katika somo la Hisabati kutokana na sababu zifuatazo.
1. Wanafunzi wengi hawajui misingi ya Hisabati kama Kujumlisha, Kutoa...
Kupata ninachozungumzia tafadhali angalia mpaka mwisho. ....
Tulishasema huko nyuma kwamba njia rahisi sana ya kuteka mawazo ya watu ni kuteka watoto kuanzia shuleni. Na njia rahisi zaidi kufanya...
Huyu anahitaji kusomea Computer Science ila ana F ya Phy & Math
Anaweza kwenda huyu
Kwa mwenye uelewa zaidi asaidie mawazo ila pia wazo Jipya litakua bora pia
Total Mark
C zote exept Math & Phy ni F
Habar zenyu wakuu..
Naomben ushauri wa bure ulioboreka.
In case mtu anasoma bachelor's degree... ni vyema kumaliza na kusaka job, ili kupata experience....??
AU
Kumaliza hiyo degree ya kwanza...
Habarini wakuu
Nina mdogo wangu kamaliza kidato cha nne 2016 na kupata alama hizi..
b/math C kisw B
Bios A Geog C
Phys C Eng B
Chem C civ C
Add/math F
anataka kusoma diploma...
Hapa kwetu Tanzania, mashuleni na vyuoni tumekuwa tukisoma masomo mengi sana ya ajabu na magumuuuu ukiacha yale machache muhimu. Unamkuta mtu ana lundo la madaftari kwenye begi mpaka mtu...
Eti waalimu wa Arts hawaajiriwi!
Kama wewe ni msomi au mwanafunzi utaungana na mimi eti walimu hata kama wa sanaa(geography, history, english,kiswahili nk) wametosha mashuleni!?
Asilimia 99% ya...
Naombeni msaada wa kozi nzuri yenye uwezekano wa kuajiriwa kwa urahisi kwa ndugu yetu mwenye matokeo haya:
CIVICS C
HISTORY D
GEOGRAPHY D
KISWAHILI D
ENGLISH C
PHYSICS F
BIOLOGY C
MATHEMATICS F...
Wadau habar za uzima nilikuwa napenda kuomba ushaur juu ya kozi IPI ya afya inaweza kuwa bora kwangu kulingana na matokeo haya yangu physics D chemistry C biology C English C geography C civics C...
Friends i would like to ask you about nursing and clinical assistant upgrading from certificate level is it two years or one year because is not well known/clear. Any one who know about this...
wanajamii binafsi nimesoma SUA, faculty of Veterinary Medicine, nimekikumbuka tu chuo bora na Elimu ya pale ilivyokua ngumu....Msuli mnene na practicals ngumu balaa....ila nashukuru Mungu niliweza...
KONGAMANO LA KUMBUKIZI YA WALTER RODNEY
Jukwaa la Wajamaa Tanzania (JULAWATA) kwa kushirikiana na Taasisi ya Soma wameandaa Kongamano kwa ajili ya kutafakari fikra na mapambano ya mwanazuoni wa...
Hoja yangu kwa tamisemi serikali inachelewesha kulipa mapunjo ya mishahara lakini kadiri inavyochelewa kulipa kuna charges ambazo hutozwa kulingana na muda tangu uliporekebishiwa mshahara hadi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.