Jiamini, Jitambue Kuwa mbunifu
Elimu ni nin?
Nani aliyeelimika?
Utendaji kwa ufanisi na matokeo mazuri ya ulichotenda ndio kipimo cha mtu aliyeelimika.
Kuwa na vyeti vingi haisaidii kama...
Wakili yoyote mwenye harufu ya chama eti anaitwa msomi nchi hii watu wana macho lakini hawaoni,wanamasikio hawasikii, wanaubongo lakini hawaushughulishi
Habari wanajamvi,,,
Hali ya usingizi katika chuo pendwa cha udsm sasa ni mbaya,,,,, kunguni wameondoa ladha yote ya usingizi imeisha,,, sio hostel za campus wala mabibo hali ni mbaya. Watu...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI NA UMMA WA WATANZANIA
RAISI WA SERIKALI YA WANAFUNZI ST. JOSEPH AFUKUZWA CHUO KWA KUTETEA HAKI ZA WANAFUNZI WENZAKE
Katika hali ya kusikitisha sana na yenye...
Habarini wakuu humu,
Bila shaka kuna ambao wameomba kusomea diploma ya clinical medicine ili waje kuwa Clinical Officers, nataka niwaase mapema, hii kozi siku hizi inakula vichwa mpaka sio vizuri...
Wakuu habari za uzima, nilikuwa napenda kuuliza hivi baada ya kumaliza diploma ya nursing unaweza kujiendeleza tena kimasomo ukifanya kazi kwa miaka hiyo miwili na je qualifications za kuendelea...
True Ink Associates inapenda kuwatangazia wote kuwa review class ya CISA (Certified Information Systems Auditor) itaanza tarehe 03/04/2017, Dar Es Salaam City Center.Golden Jubilee Towers, 17th...
Husika na kichwa hapo juu, hiki Chuo kipo maeneo ya Tegeta (karibu na Wazo)
Kama kuna Mwalimu au mwanafunzi anayesoma hapo Naomba kufahamu kuhusu kozi za Ualimu zinazotolewa hapo na Mazingira ya...
Wadau nahitaji kuboresha utendaji wangu wa kazi kwa kupata mafunzo ya SAP FICO (Financial Accounting and Controlling) na pia SAP Procurement (MM) modules.
Hivyo nauliza kwa wenye uelewa na hizo...
Kuna kozi inaitwa Dental Labaratoty Technology inatolewa Chuo cha Afya Muhimbili. Naomba kufahamu uzuri wa hii kozi ukilinganisha na Clinical Medicine pamoja na gharama zake ili nifanye maamuzi...
Wanajamvi Nmefanya application juzi TCU , ila nmekosa chuo.
Nmesoma PCB nna point sita yaani phys D chem B na biol C.
Mpangilio wangu wa vyuo ulikuwa hivi.
1.maabara (muhas)
2.environmental...
Hongereni na majukumu wanajukwaa!
Ninahitaji kujua shule nzuri ambayo ina kituo/darasa kwa ajili ya reseaters mtihani wa kidato cha nne kwa masomo yote lkn hasa sayansi...
Wakuu habar zenu,
Mimi kijana graduate Wa sheria, bila kuwachosha naomba kuuliza, kwenye ajira za serikali, ni Kazi gani anaweza Fanya law graduate bila kupitia law school ?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.