Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Habari nilimaliza A level mwaka 2010 ila nilifeli kabisa. Mwaka uliofuata yaani 2011 niliamua kurudia tena ila katika combi yangu ya PCM nilipata alama E kwenye maths. mwaka huo niliamua kwenda...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Ukweli ni kwamba Halmashauri nyingi hazijatoa pesa ya kujikimu kwa walimu wapya wa Sayansi na Hisabati walioajiriwa na Serikali mwezi uliopita (APRIL 2017) Hali ni tete sana, ila cha kushangaza...
1 Reactions
35 Replies
10K Views
Mwanangu wa kike alimaliza fm six mwaka jana kombi HGK akapata S. E . D sasa anataka ku kurudia somo moja hapo, na ameng'ang'ana kabisa ,mimi kama mzazi nikamshauri asome diploma akasema diploma...
2 Reactions
14 Replies
6K Views
Kwa anaejua Pius sekondari ipo Mbagala sasa sijui n maeneo gani na Kama natokea ubungo naweza panda gari ngapi hadi kufika???
0 Reactions
2 Replies
829 Views
Alikua ni mwanafunzi wa engineering mwaka wa 4,amekutwa chumbani amefariki,, kwa wanafunzi wa NIT huyu jamaa aLikua anauza chips pale best free RIP BRO
2 Reactions
21 Replies
40K Views
Kufuatia mmomonyoko mkubwa wa maadili ktk nchi yetu, nashauri somo la Civics lifundishwe kwa lugha ya Kiswahili ktk shule zetu za sekondari. Zamani kulikuwa na somo la Siasa ambalo lilifundisha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Katika hali isiyo ya kawaida, Halmashauri ya wilaya MISSENYI imegoma kuwakopesha walimu ajira mpya pesa za kijikumu, hali inayopelekea walimu hao kulia njaa kila siku. Mwalimu wakiomba shule...
1 Reactions
1 Replies
876 Views
Habari wana JF. Kama kawaida hapa JF ni shule nzuri yenye mtaala huru. Naomba kujua kama mtu amesoma ualimu Grade iiiA na anataka degree kwa kupitia open university na o level alipata iv ya 26...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Nguo inauzwa 10,000/= huna pesa ukaendakukopa kwa dada 5,000/= na kaka 5,000/= jumla 10,000/= ukaenda dukani ukaomba upunguziwe ukauziwa 9,700/= ukabakiwa na 300 ukapunguza deni kaka yako ukampa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Salaam, Wandugu naombeni ushauri wa chuo kizuri kwa mwanangu kwa course ya laboratory or clinical officer. NB: Hasa kwa Arusha, Moshi na Tanga.
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Kuna tangazo kuwa kuomba vyuo vya ualimu mwisho tarehe 15.6.2017, je lina ukweli wowote? Naliambatisha
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Je kama mwaka jana niliomba chuo kupitia TCU nikapata lakini nikashindwa kwenda chuoni kwa sababu zilizo nje ya uwezo wangu je mwaka huu nikitaka kuapply tena naweza kuapply tu au mpaka...
0 Reactions
2 Replies
748 Views
Jaman msaada wana jf kama mtu kasikia post zimetoka naomba kunijuza ikiwezekana nipate link....nawasilisha.
2 Reactions
41 Replies
8K Views
Physics degree- Major in quantum mechanics (FORT WORTH, Texas) — A 14-year-old physics major has become the youngest person ever to graduate from Texas Christian University. Carson Huey-You was...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari ndugu zangu. Hivi mtu akisoma vitu tofauti na UALIMU NA UDAKTARI chuo kikuu anaweza kupewa mkopo na bodi ya mikopo ?
1 Reactions
7 Replies
4K Views
Habari za jioni wakuu.. Nimehuzunishwa sana na hiki kinachoendelea kwenye baadhi ya Shule zetu za Serikali ambazo waTanzania wengi wenye kipato cha chini ndo tunawapeleka watoto wetu.. Kuna...
2 Reactions
23 Replies
3K Views
Ni siku ya ijumaa serikali kupitia wizara husika ilamua kutoa orodha ya watumishi halali waliohakikiwa na majina Yao kubandikwa katika halmashauri za wilaya wanazofanyia kazi lakini jambo la...
3 Reactions
30 Replies
14K Views
HATIMAYE: UONGOZI WA ST JOSEPH UNIVERSITY COLLEGE OF ENGINEERING AND TECHNOLOGY DAR ES SALAAM, WAMSIMAMISHA MASOMO RASMI RAISI WA SERIKALI YA WANAFUNZI (SOSJCET) 2017/18 NDUGU BACHUBILA HARUNA...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Napenda kuwakaribisha wasomi wote wa elimu ya juu yaani vyuo hasa wa hapa dar es salaam UDSM,venue ni Yombo 4 n 5 pale pale UDSM. Katika ibada maalumu kwa ajili ya kumshukuru Mungu kwa mwaka mpya...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani wanajamvi sio kila siku lawama tu kwa serikali yetu ya JPM, panapo pongezi ni lazima tuseme, siku za ivi karibuni serikali imesambaza vifaa vya maabara vya kila aina ikiwemo chemicals za...
1 Reactions
0 Replies
920 Views
Back
Top Bottom