Wakuu salama humu, Ivi inshu ya mikopo kwa Wanafunzi wa diploma imeishia wapi je itahusu pia watu wa Diploma wanaondelea , Course zipi zitapewa kipaumbele wakuu
Mimi ni mwalimu idara ya sekondari nipo Iringa manispaa, nataka nibadilishane na mwalimu wa dodoma manispaa. Kwa ambae yuko tayari tuwasiliane inbox. Ahsanteni
Nimekuwa nijiuliza sana hasa huko miaka ya nyuma shule ya msingi tu unakutana na wanafunzi wakubwa yaani ni watu wazima na ukimkuta anayesoma kwa malengo ni kweli anasoma kwa bidii na hata akienda...
Wakuu,
Naomba muongozo kwa anaefahamu chuo gani naweza fanya MBA jioni chenye bei nafuu naomba muongozo. Nimegoogle nimeona Kenyatta University na IAA kama kuna vingine tushauriane. Msitaje ESAMI...
Kwa Mara kadhaa serikali yetu imekuwa ikibeep kudeal na suala la udhibiti wa ada za shule za sekondari. Lakini kwa bahati mbaya umaliziaji wa suala hili umekuwa ngumu sana. Sababu moja wapo ni...
Wapendwa katika social networks nawasalimu kupitia Jamii Forums.
Ndugu wapendwa mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 20. Nimehitimu kidato cha sita mnamo mwezi huu tar. 9. Ambapo nilikua nachukua...
Leo kulikua na test watu tumejiandaa fresh kuingia kwenye paper ndani ya chumba cha mtihani kulikua na msongamano wa wanafunzi aisee yani ilionekana kama vile itakua kitonga kupata majibu lakini...
Wakubwa napenda sana kusoma masters nchini hasa Masters in Mathematics, MBA, STATISTICS, MATERIAL PROCUREMENT ama Management. naomba msaada nitumie njia/taratibu zipi kupata sponsor. NB Tumia...
Rejea kichw cha habari,
Ameniomba ushauri anataka kuachana na ualimu wa msingi, Vipi nimshauri apigie kozi ya kada gani?
Lengo lake kachoka ualimu au mnamshauri nini waungwana.
Ushauri wenu ni...
mimi nimemaliza form four 2016 na ufaulu wangu ni physics D,chemistry C,mathematics C biology C ,english C na masomo yaliyobaki yote ni C, je naweza kujiunga na diploma ya electrical engineering...
Habari za wakati huu wanajukwaa,
Naomba mnijulishe jambo fulani, kuhusu namna ya kufanya application kwa course ambazo sio za AFYA na education! (hizi hazifanyiki online, according to NACTE)...
Samahan wadau kwa yeyote anaejua Chuo hapa tanzania kinachotea course ya MANTAINANCE AND DEVELOPMENT OF HEALTH PROJECT plz naomba unisaidie jina la Chuo na mkoa Wa Chuo husika.
Poleni na majukumu wakuu...
Natamani na nimevutiwa kwenda kusoma faculty ifuatayo
Bachelor of arts in Geography with environmental management.. nimevutiwa nayo ila sina uelewa nayo..
Mwenye...
Maisha hutupa changamoto ili kupima ujasiri na utayari wetu wa kubadilika, katika muda huo hakuna nafasi ya kujifanya kwamba hakuna linalotokea au kusema hauko tayari kuipokea changamoto hiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.