Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Lazima haya yatiliwe mkazo wiki ijayo isiishe: Ni mwaka mmoja tangu serikali ya wanafunzi wa St. Joseph ya kuanzia February 2016 hadi February 2017 ilipoandika waraka unaoanisha matatizo yao na...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wadau nahitaji kujua shule nzuri za primary English Medium Dar es Salaam nataka kumanzisha mtoto
0 Reactions
7 Replies
14K Views
1.Mjumbe hauwawi, 2.Mchochezi ni anayedharau mamlaka za nchi kwa kinywa chake kwa kusema hamtambui Waziri Mkuu bali Waziri wa elimu ndiye atakayemponya mhanga huyu na likitokea hilo atajiuzulu na...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wadau mimi nimehitimu kidato cha nne mwaka jana, Kwa ufaulu wa division 3 ya 25 lkn kombi zikagoma. Naweza kupata kozi ya ualimu kwa vyuo vya serikali?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hello JF, Leo nilikua nawaza vile vyuo vikuu duniani, kama Cambridge, Oxford, Harvard etc wanakuwaga na mitihani ya mchujo mkali kwa wanaotaka kuingia kusoma degree zao. Sasa mimi nahisi kuna...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Kwa yeyote mwenye sillabus ya commerce(soft copy) naomba anisaidie jamani. Ahsanteni sana na Mungu awabariki.
0 Reactions
0 Replies
834 Views
Upoambiwa watu wanaacha Chuo ni kutokana na sababu nyingi tu mfano ni kwa ujinga huu.. Application form sasa baada ya CAS kutolewa ni mpaka 50,000/= mfano ni hapo chuoni.. Ada elekezi...
2 Reactions
1 Replies
3K Views
Jaman eti kama uli risiti serikali form four au form six serikari hawakuajiri kwenye ajira za walimu please naomba mwenye uhakika atujuze sisi.
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Ni mwaka mmoja tangu serikali ya wanafunzi wa St. Joseph ya kuanzia February 2016 hadi February 2017 ilipoandika waraka unaoanisha matatizo yao na kupelekea mgomo wao ambao ulifikia siku ya tatu...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Kati ya ualimu primary na uhasibu bora kusomea nini hasa kwenye upatikanaji wa ajira
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu nauliza uwezekano wa Kusoma Telecommunication engineering Abroad Nina Ordinary Diploma ya Electrical and electronics engineering i wish to take my Bachelor Abroad je ninaweza kupata...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
msaada jamani mbona siioni
1 Reactions
21 Replies
4K Views
  • Poll Poll
Kama ilivyokuwa kwenye post yangu iliyotangulia kuhusu kitabu cha Taasisi ya Elimu: Najifunza Kusoma Darasa la Kwanza Kitabu cha Kwanza, ambacho ndio kimeandaliwa kusambazwa Tanzania nzima kama...
6 Reactions
35 Replies
10K Views
Jaman naomben mnijuze kwa wale kidato cha sita waliomalza wataenda J.K.T?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hivi jamani hizi selection zinatoka lini tujiandae kwenda vijijini
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Habari wana JF Mimi nimeajiriwa na serikali hivyo naona umefika wakati nahitaji nijiendeleze na masomo ya chuo, sasa sijapewa nafasi ya kwenda masomoni na muda naona unazidi kuyoyoma. Naomba...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ni taratibu zipi ambazo mwanafunzi aliyemaliza mwaka wa pili anatakiwa azifuate ili aweze kuhamia MUHAS aendelee na mwaka wa tatu?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
TUMEANDIKIWA "WILL OPEN SOON", HOW SOON IS SOON? THE NATIONAL COUNCIL FOR TECHNICAL EDUCATION ONLINE APPLICATION AND VERIFICATION SYSTEM Home Login Guidebooks FAQ Fri May 19 2017 04:53:43...
0 Reactions
0 Replies
731 Views
Naomba kujua ni kozi gani naweza kuchaguliwa ktk kozi zilizo tangazwa na Nacte kwa vyuo vya serikali,kozi ya ualimu,na afya matokeo yangu ni civ D,blg C,kiss C Engl C,cemD jiog D math f kwa...
1 Reactions
15 Replies
4K Views
Mention five Supportive content on the topographical map.... Ni zipi
0 Reactions
9 Replies
859 Views
Back
Top Bottom