Napenda kuwafahamisha mawaziri wetu wa Elimu Na Utumishi Juu ya Uwepo wa Watumishi waliomaliza kidato cha 4, wakasoma Certificate tu kisha wakaruhusiwa kuchukua Degree je nao mnasemaje?
kuna rafiki yangu yupo chuo fulani zanzibari cha nursing anataka ahamie chuo fulani kilichopo Tanga.je kwa utaratibu wa sasa atumie njia gani kuomba uhamisho kwasababu yeye alipata chuo kipindi...
Habarini wana jamvi. Mimi nimehitimu diploma na nataka kujiendeleza na degree ya BBA katika chuo kikuu cha UDSM na ningependa kwa wanaojua utaratibu wa kufanya application wanifahamishe ili...
Jamani kama mtu anajua code za namba simu za mezani za mikoa ya kadhaa hapa Tanzania, Anitumie. Au kama una kitabu cha orodha ya simu Tanzania toka shirika la simu Tanzania Tafadhali nitumie hapa.
Kila ninapotazama mbele –tuseme miaka 20 ijayo – kuhusiana na lugha yetu ya Kiswahili, naona tunakoelekea kama taifa si kuzuri sana.
Zamani ilizoeleka utani kwa watu wa kanda ya ziwa ambao kwa...
Jamani naombeni ushauri mimi nimemaliza form four 2016 nimepata division two nataka kwenda chuo kuchukua diploma ya electric engineering.
Je ni chuo gani ni kizuri kwa electric engineering na pia...
Wakubwa habari zenu at nauliza nahitaji kujiunga na chuo cha afya kozi ya clinical officer Nina ufaulu WA masomo ya PCB Kwa viwango vya CCB na math Nina D msaada wana jf
Kwanza kabisa nawashukuru sana wana jamii forum kwani mara nyingi nikihitaji kufaham au kujifunza au kupata mawazo zaidi katika jambo fulani Jamii forum inanitosheleza
Mwenzenu naombeni ushauri...
Habari zenu wakuu,
Kichwa cha Habari chahusika, nashangaa kuona wadada wengi wanaomaliza kidato cha nne na kupata zero (Bashite) wanaenda soma nursing na wengn nawaona huku kwenye dispenary...
Hili swali nimekuwa nikiuliza mara kwa mara ila nashindwa kabisa kupata jibu la kuridhisha kabisa.
Mimi navyoona labda kungekuwa na utaratibu wa kuruhusu wanafunzi waweze kuingia na reference zao...
Walimu wa hesabati tukutane hapa kwa ajili ya kubadilishana uzoefu katika kufundiasha na kuandaa mitihani kwa ajili ya wanafunzi wa kidato 1-4
PIA
Nifundisheni mimi kuandaa SCHEME OF WORK ya...
Nimemaliza form 4 mwaka 2015 mwaka huu nataka kujiunga na chuo sasa naomba mnishauri ndugu zangu nikasomee course gani ambayo yenye mafanikio pindi nikihitimu huko ngazi za mbele iwe diploma au...
Wakuu kwa yoyote anayeifahamu shule ya nsongwi juu secondary iliyopo mbeya vijijini na anamawasiliano na mwalimu yoyote wa pale naomba anisaidie...wakuu naombeni sana msaada sababu na shida kubwa...
muhali gani wanajukwaa wezangu!nimemaliza kidato cha nne mwaka 2008 takribani miaka tisa imepita.Kwasasa nimeajiriwa nahitaji kujiendeleza ila lazima nipitie A level .Je ninaweza nikamudu masomo...
==========
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Joyce Ndalichako amewasimamisha kazi Kaimu Kamishna wa Elimu, Nicholas Bureta na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Elimu ya Tanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.