Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
  • Poll Poll
Nahisi hatujajua thamani ya elimu. Tumezoea kusikia kwenye soka Tanzania ikiitwa “kichwa cha mwendawazimu.” Nahisi kama kwenye Elimu nako hakuna tofauti. Lakini nisiseme sana, labda teleskopu...
7 Reactions
40 Replies
9K Views
Habari wanaJf katika jukwaa hili tukufu la kuongezana maarifa, Naomba msaada wa sehemu ipi sahihi nikafuate cheti changu cha kidato cha sita Nilimaliza kidato cha sita, shule ya sekondari Pugu...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Changamsha bongo[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116] Wewe ni muuzaji wa duka, mteja anakuja na shilingi elfu Kumi (10,000/-) feki anataka Mkate wa shilingi 2,000/- ...wewe bila kujua...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Amani na iwe kwenu, Baada ya Nacte kutangaza rasmi kuwa wameachia jukumu la kuratibu udahili wa wanafunzi isipokuwa kwa vyuo vya afya na ualimu vilivyopo chini ya serikali, ni muda maalum sasa wa...
2 Reactions
1 Replies
772 Views
Wiki mbili zilizopita kama mdau wa elimu nilitoa maoni yangu kuhusu vitabu vibovu vya taasisi ya elimu. Hongera waziri kwa kuliona hilo, waliohusika kuandaa vitabu hivyo vibovu kwa kutumia kodi za...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
samahanini wakuu...hivi kwa mfumo wa elimu ya Tanzania kwa sasa.....kwa mfano mtu alimaliza form six mwaka jana na kwenye combination yake akapata DEE.....hapo awez kuendelea na chuo kikuu sabab...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
I create my own problems and then hastle to solve them. Nikiyaangalia mapito yangu, mengi naona ni mimi mwenyewe nilikosea, kisha nikahangaika kutafuta majawabu ya changamoto nazopitia. Imekuwa...
0 Reactions
11 Replies
941 Views
Wasalaam. Hiki chuo ni miongoni mwa vyuo vyenye miundombinu mibovu haswa yaani nakifananisha na Pugu secondary shule niliyosoma A'level. Najua wengi mtakasirika sana lakini ndo UKWELI, pia...
6 Reactions
41 Replies
10K Views
Habari Naitaji kufahamu historia ya sisi Wabantu miaka 2000 na kitu iliyopita, jina letu la kale, falme zetu za kale, na yote ya zamani za kale yatuhusuyo. Neno "Bantu" maana yake "WATU"...
0 Reactions
0 Replies
780 Views
Jaman naombeni mnisaidie shule ya bweni "A level"hgl yenye ada kuanzia milion1 kushuka chini mkoa wwte#mtt wa kiume,,ntashukuru kwa msaada wenu#0621007869
0 Reactions
0 Replies
781 Views
Nataka kumuhamisha mwanangu kutoka Tengeru Boys kwenda Shule nyingine bora zaidi ya Tengeru Boys au yenye ubora sawa na Tengeru Boys.... Iwe Shule ya Boys....(Hata Mchanganyiko sio Mbaya sana...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
How do I apply for a teaching course in government colleges for the year 2017 /2018?
1 Reactions
1 Replies
751 Views
What are the importance of land surveying in water supply?
0 Reactions
0 Replies
783 Views
Habari wakuu Naweza kupata kitabu cha architectural graphics by francis ching fifth edition
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Waheshiwa wote mm nimemaliza kidato cha 4 mwaka Jana ninashida ya vyuo ili nikasome KOZI please! Mwenye tangazo lolote naliomba la chuo ,Iwe UTUMISHI-ULINZI-NURSING NK,
1 Reactions
1 Replies
869 Views
Nina miaka 10 sasa tangu nimalize kidato cha nne na kwa muda wote huo sikukifuata cheti changu cha kidato cha nne! Sasa nataka kukifuata ila kuna watu wananichanganya, wengine wanasema kwa muda...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Natumai mu wazima wana JF, please naomba msaada katika hili, mtu akiahirisha masomo na alikuwa sponsored na bodi ya mikopo. Je siku akienda chuo kuendelea na masomo yake pia mkopo ataendelea...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Habari za usiku wadau wa jukwaa hili... Naomba kufahamu kama kuna mtu humu ndani amesoma kozi yenye jina tajwa hapo juu au anaifahamu kwa maana ya kwamba pengine anafundisha....rafikiye anasoma...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hbrn ndg zng..... Nauliza hao viongozi walioachwa .....muda wao wa kutumikia ukiisha na wakitokea mfano ma profesa wakirudi kufundisha ndo mchakato utanza tena au imekaaje
0 Reactions
1 Replies
833 Views
Back
Top Bottom