Wakubwa me natarajia kumaliza mtihan Wang wa kidato cha sita nimechukua CBG lakini nipo njia panda je course ipi nibora yan ajira nilahisi natukiangalia kwa upande mwingine naweza kuanzisha mradi...
Karibia katika awamu zote za Uongozi hapa nchini Tanzania kuanzia ya Hayati Nyerere, Mwinyi, Mkapa na ya Kikwete huku ukiiondoa hii ya sasa ya Shujaa kutoka Chato Rais Dkt. Magufuli mara nyingi...
Chuo cha sayansi na teknojia Mbeya (MUST) ni mmoja wa chuo tulitarajia kitafungwa au kitazuiliwa kudahiri wanafunzi kama chuo cha St. Joseph na vyuo vingine hapa nchini lakini imekuwa tofauti...
Habari za jioni wana group,ninaomba kwa yyte ambaye yupo DSM na anasoma chuo chochote cha level ya Certificate au Diploma,
Au kama in Mwalimu au unamfahamu Mwalimu Fulani wa chuo hicho nakuomba...
Dear Students of SJCET, Fellow Comrades,You doomed students who by such bad luck happen to be spies for our foes(Bhaskara Raju,Jaison Jacob and,Ranjith),Staff of SJCET,Dear Sisters,Fathers,and...
Hello Wakuu,
Natumai mko poa. Kuna kasumba moja imezoeleka miongoni mwa walimu wengi wa ngazi zote (Shule ya msingi hadi sekondari), tabia ya kuchukia kufanya kazi vijijini na badala yake...
Mimi nimemaliza advance mwaka 2014 ufaulu wangu, General studies, E, history -C, kiswahili -B, English language-E, division three ya 13 .
Nahitaji mnisaidie kunishauri Kati Ya kozi hizi ipi...
Habari ya mchana wana GT..ni matumaini yangu nyote mko salama na mnaendelea vizuri.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu..ninatafuta chuo ambacho ni kizuri kinachotambulika na pia...
Habri, JF.
Naomba kujuzwa kuhusu waliosoma nje ya Bongo hasa elimu ya juu kuanzia shahada hadi uzamivu, mlipohitimu vyeti vyenu vya huko nje mlivipeleka ofisi/ mamlaka ipi ili kutambulika na...
Mwalimu kapangiwa:
Mkoa wa Iringa
Iringa DC
PAWAGA secondary school
anahitaji kujua kuhusu haya:
mahali zilipo ofisi za halmashauri husika.
nauli kutokea mkoani hadi ktk halamashauri husika...
Jamani kwa wote mnaosomea India au mliowahi kusomea India ninaomba mtushauri kitu hapa mimi na mdogo wangu.Mdogo wangu amepata skolashipu anatakiwa aende India masomoni huko Mangalore tunaomba...
Habari za jioni wanaJF, napenda kujifunza lugha hii ila sifaham mahala gani naweza pata hilo darasa wanapofundisha lugha hii kwa hapa dar es salaam, ahsanteni
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.