Nimetembelea website ya nacte . nikaona kuna udahili ulifanyika march- april 2017.
Hii inamaanisha udahili mwingine hautafanyika tena mpaka 2018 march ?
Je ule udahili wa katikati ya mwaka...
Bila shaka lengo kuu la nchi mbalimbali duniani kuwa na ubalozi katika nchi zingine ni pamoja na kujenga/kudumisha ushirikiano baina ya nchi hizo.
Lakini pia kwa upande mwingine linapotokea jambo...
Dear Students of SJCET, Fellow Comrades,You doomed students who by such bad luck happen to be spies for our foes(Bhaskara Raju,Jaison Jacob and,Ranjith),Staff of SJCET,Dear Sisters,Fathers,and...
Naomba ushauri,
Dada yangu anaufaulu huu hapa;
Physics D
Chemistry C
Biology D
Mengine yaliyobaki F
Ushauri jamani comment zenu sio matusi kama huna ushauri soma pita
Mu hali gani ndugu zangu humu JF?
Ninaomba kujuzwa vitu vifuatavyo;
1. Kwa anejua ada ya KCMC katika kozi ya diploma ya nursing na optometry
2. Vyuo vinavyotoa kozi ya diagnostic radiography...
Habari zenu wakubwa nilikuwa naitaji ushauri juu ya course huu ndo ufaulu wangu form four
Math D
English D
Kiswahili D
Civics D
Geography D
hostory D
Physics D
Biology C
Chemistry...
Habari za mihangaiko members,
Naomba kufahamu kama mitihani ya ufundi ya VETA grade test /lever inaweza kumpa sifa mtahiniwa kuendelea na elimu za juu kama diploma, mpaka degree kwa gani ambayo...
Habari wakuu.
Tumekuwa tukikutana kwa anuani ya wauza nyumba,viwanja na kadhalika.
Leo hii, naomba wazazi au walezi hususani wenye wanafunzi wanaosoma kutwa tukutane hapa na kujadili changamoto...
Mwenyezi Mungu awabariki na kuwalinda.
Enzi za Kikwete tulisoma elimu ya sekondari kwa pesa. Hii inajumuisha ada na michango mingine shuleni.
Kwa mfano mimi, kuna baadhi ya nyaraka kutoka...
Za leo wanajamvi.
Kutokana na kipatochangu kuwa kiduchu nashindwa kumpeleka mwanangu shule zingine kama St. ........ na International....... Napenda kumpeleka Bunge primary school ambayo...
NImeikuta hii nyaraka kwenye website ya UNESCO, hope inaweza toa msaada wa mahitaji ya msingi kwa wale wanaotegemea ama wao au ndugu zao au watoto zao kujiunga na masomo ya kidato cha tano 2017...
Kwa wale wote tuliochaguliwa chuo cha LITI, Morogoro tukutane hapa wadau tupeane taarifa mbalimbali.
Je??Kutakuwa na sponsorship mwaka huu?? Je tarehe ya kuripoti chuo lini??? Je join instruction...
Habarini ndugu na jamaa mimi ni candidate ninae subiri post za skuli
ninaitaji materials ya masomo hayo Physics, Chemistry, Biology na BAM
kama unavo nifate PM tuongee biashara pia kama kuna njia...
Habari wana ndugu. Nimepiga PC mwaka jana na nikapata matokeo ya kawaida tu.
Phy D
Chem B
Geo D.
Math, Bio, Kisw, Eng na Islam ni C.
Je ni kozi gani nzuri ukitoa Clinical Medicine, Medical...
Mimi ni dada wa umri wa miaka 29, nimesomea bachelor of Physics, natafuta kazi ya kufundisha masomo ya sayansi physics, mathematics na chemistry, nasikia kuna upungufu mkubwa wa walimu wa sayansi...
Habari zenu wakuu...mdogo wangu ana ufaulu ufuatao form four....Maths C, Chemistry C, Biology C, English C, na mengine yaliyobaki alipata C, but hakusoma physics, na alitaman sana kusoma medical...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.