Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Habari zenu wapendwa ? Ni miezi 6 sasa tangu nilipofanya transfer ya chuo mwaka ulioisha Nilikua napata mkopo kama kawaida lakini tangu nimehama mpaka sasa sijasaini hata shilingi tano ...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Habari zenu wana jamvi lengo la kuanzisha Uzi huu ni kwamba nina tafuta ujuzi wa kutumia PIONEER vizuri ili niweze kuwa dj sasa ni wapi nitapata mafunzo hayo na pia uhakika wake wa ajira upo vipi...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Wadau Naomba kuuliza mwenye kufahamu jinsi ya kupata kazi nchi Kama USA,mwenye kuweza kunipa elimu karibuni Mnisaidie..
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Veterinary doctor to shift and become medical doctor. Is it possible and if yes how long he/she going to spend school again?
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Habari za mda huu nilikua naomba msaada a mtu amabaye ana faham jinsi ya kuandika business plan au nikipata sample itakua vyema sana
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wadau habari na mdogo wangu kasoma nursing ya mwaka moja anaweza soma certificate ya nursing mwaka moja matokeo yakidato cha nne physics D biologyD chemistry C mengine F anaweza akaomba nacte...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nataka kubadilsha jina, naomben msaada kwa anayefahamu!!!
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Uamuzi wa Serikali wa kuwafukuza kazi watumishi wanaodaiwa kughushi vyeti, umezidi kuchukua sura mpya, baada ya watumishi sita wa Halmashauri ya Kilwa mkoani Lindi kufungwa jela mwaka mmoja kila...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Inashangaza sana katika zama hizi za teknolojia, vyeti vya kuhitimu kozi mbalimbali imekua shida kutoa. Mbaya zaidi wamekaa kimya bila kutoa sababu za kuchelewesha vyeti kwa wahusika. Hili swala...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau tafadhali msaada nimekutana na wahitimu wanaodai wana Vyeti vinaitwa Advanced Diploma nataarifiwa "eti" kuna sehemu wanalinganisha na shahada ya kwanza ya Chuo kikuu. Tafadhali mwenye ujuzI...
1 Reactions
70 Replies
21K Views
Ndugu... Mimi ni mtahiniwa wa kujitegemea (PC) nafanya mtihani wa kidato cha sita kuanzia leo..... JF ni tanzania nzima na ofisi zote za umma na binafsi, ni ya watu wajuzi na uelewa mpana wa...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Naomba kuuliza kuhusu mtu aliyesoma Bachelor of art in economics ,kazi anazofanya na wapi n.a. wapi anaapply na vip kuhusu soko la ajira katika kozi Hiyo ?
0 Reactions
12 Replies
7K Views
Habarini wanajamiiforum, Mimi ni mwanafunzi niliyemaliza kidato cha sita mchepuo wa PCM 2016,nimebahatika kuupata div 2 ya point kumi,sasa katika kuchagua vyuo mimi napenda kusoma engineering...
3 Reactions
128 Replies
14K Views
Habari za asubuhi wakuu.. Naomba mnielekeze sehemu zilipo ofisi ya wizara ya elimu, sayansi na teknolojia hapo Udom.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
nimehitim kidato cha nne mwaka 2016 na kupata div 2.18 kwa matokeo haya phyz C chem C bios B math D kisw C eng C Geo C Hist B Civ B mchango wenu plz
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Binafsi nilipenda sana sayansi kimu hasa ikifika muda wa kupika shuleni tumepika sana pale nyanza primary.
3 Reactions
65 Replies
5K Views
Ety hizi post zinatoka lin kwasababu naona ni kama Prof Ndalichako anatusahau
1 Reactions
12 Replies
4K Views
Mungu awatangulie katika mtihani wenu
4 Reactions
22 Replies
5K Views
Imegundulika kuwa zile Shule au Taasisi za Elimu ya juu ambazo Walimu wake wengi wa Kike hupendelea sana kuvaa ama Kimini au Nguo za kubana kabisa wawapo darasani wakiwa Wanafundisha 99% ya...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Nimemakiza kidato cha 4 mwaka 2015 nikapata 3 ya 24 PHY D, CHEM D, KISW C, BIO C, MATH D, CIV C, HIST D, GEO D, ENG C, Naweza nikasomea chuo cha ufund maswala ya umeme "electrical" kutokana na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom