Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Jamani kwa anaejua muda wa kutuma maombi manake wengine wanatuambia mwezi wa 5 wengine wa 7 sasa tunawaomba mje wale watasha mnaojua muda.
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari ya mchana ndugu zangu Great thinkers wa JAMIIFORUMS...hii incidence imetokea leo kazini mida ya asubuhi..hapa ofisini kwetu kuna vijana wa UDSM waliopo katika mazoezi yao ya vitendo yaani...
0 Reactions
27 Replies
7K Views
naombeni mnitajie vyuo vinavyotoa certificate ya IT vilivyopo Mbeya
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu nina mpango wa kutuma maombi nacte kusoma hiyo course.. Je ni course nzuri? Field zake ni kama zipi? Na zipi Changamoto zake? Chuo gani kizuri kusomea hiyo course? Naombeni mnisaidie wakuu
1 Reactions
6 Replies
4K Views
Kutokama hali ya kimasiaha ya mwaka huu kutoautiana na ya mwaka juzi ambapo walimu wa ajira mpya waliajiriwa, serikali yetu kupitia Ofisi ya Rais TAMISEMI, imeamua kuongeza fungu ktk pesa ya...
4 Reactions
35 Replies
4K Views
Hi Great Thinkers Mwenye Ujuzi Au Taarifa Juu Ya Bandiko Langu Ada,qualification,campus Gani Nzuri,course Duration Mimi Nina Certificate Ya Ict Ya Chuo Cha Bongo nataka Chuo Cha Kenya.Karibuni.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuhusu ada,march intake 2017 kwa wanafunzi wa hapo mwalimu nyerere
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Natanguliza kila la kheri kwa ambao kesho tunaanza mitihani ya bodi ya wahasibu na wakaguzi katika stage mbalimbali, Mitihani hiyo itaanza kesho na kuisha ijumaa, Kwangu hapa hapatakuwa shwari...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Wadau anaeielewa course ya community health ngazi ya certificate naomba kuelewa unapomaliza certificate unaweza kujiunga na deploma ya course gani ya afya pia unapomaliza certificate ya community...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Taarifa zilizopatikana muda si mrefu ni kuwa shule ya Sekondari Kibiti imefungwa baada ya vurugu kubwa kutokea kati ya wanafunzi wa Kikiristo na Waislam. I nasemekana kuwa wanafunzi wa kikiristo...
0 Reactions
132 Replies
13K Views
Baada ya kuondolewa wafanyakazi hewa Sasa waalimu wa arts kaeni mkao wa kula wote wanaajiriwa. Chanzo cha Habari Rais magufuli Leo huko moshi. Nawasilisha
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Naomba kwa yeyote mwenye uelewa anisaidie kunifahamisha chuo kizuri kilichopo DSM au Nje ya DSM ambapo naweza kumpeleka mwanangu akasome Kozi itakayomsaidia.Kamaliza Kidato cha Nne 2016 na Kupata...
0 Reactions
31 Replies
8K Views
Nitumie nafasi hii kuwatakia mtihani mwema form 6 wote Tanzania,mungu awatangulie katika mitihani yenu na mfaulu kwa kiwango kikubwa sana.Karibuni chuoni; Natambua uwepo wa form 6 wafuatao...
0 Reactions
27 Replies
8K Views
Wadau naombeni msaada wa kitabu cha UVIVU wa MWAFRIKA. Nisaidieni tafadhari, naamini mnajari na kuthamini na shida zingine. Please
0 Reactions
2 Replies
878 Views
Naomba kujuzwa kama ratiba ya mtihani wa taifa wa kidato cha sita kwa mwaka 2017 kama ishatolewa tayari.
0 Reactions
7 Replies
10K Views
Nawatakia mtihani mwema wanafunzi wote wa form 6 unaonza kesho
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Naomba kujua kuhusu soko la ajira kwa mtu aliyesoma Bachelor of arts in economic ,kama kuna mtu aliyesoma kozi Hiyo naomba anisahidie au kama kuna anayejua anisahidie plze ,nahitaji kujua kuhusu...
0 Reactions
1 Replies
883 Views
Kwa kuwa serikali imewataka walimu wapya kuwasili katika vituo vyao vya kazi walivyopangiwa kuanzia tarehe 18 mwezi huu! 1. Vipi malipo ya kufanya kazi kwa muda huu wa siku 13 za mwezi wa nne...
1 Reactions
19 Replies
11K Views
Nkasi secondary inapatikana; NCHI :Tanzania MKOA:Rukwa WILAYA:Nkasi MJI:Namanyere Ukifika stendi ya SUMBAWANGA MJINI tafuta Mabasi ya kwenda Namanyere nayo ni SHEMBOKO,RUCHORO,BISMARCK ,ETC...
0 Reactions
13 Replies
16K Views
Back
Top Bottom