Nimepitia maeneo ya DIT kumwona mtoto wa rafiki yangu asomaye chuoni hapo akiwa mwaka wa kwanza. Mimemkuta kajiinamia kama anaongea peke yake.
Nilivyomuuliza kulikoni kanijibu nina hati hati ya...
Nimehitimu kidato cha nne mwaka jana, naomba msaada kwa anaejua shule nzuri ya private kwa advance PCB yenye ada isiyozidi milioni tatu. Naomben msaada wenu plz.
Habari za mchana wakuu kama kuna mtu anaifahamu course hii inayotolewa pale university of dar es salaam anisaidie kama hii course ni full time au ni part time (evening) pekee....... maana...
Ripoti ya Uwezo inayotoa Tathmini ya hali ya kujifunza nchini inasema kuwa watoto wenye mama mwenye elimu ya sekondari au zaidi wanafaulu zaidi ya wale ambao wazazi wao hawajasoma.
Napata...
Kuna watu wafitini wanaozusha kuwa wizara kuhamia kwenye maeneo 'yanayozunguka' UDOM kutaleta madhara kwa chuo hicho.
Kabla ya hapo wizara hizi zilikuwa zinakizunguka chuo cha IFM mbona sikuona...
Wasalaam waungwana wenzangu! Natafuta shule ya wasichana pekee yenye ufaulu unaoridhisha katika mchepuo wa EGM (Economics, Geography & Maths). Kwa mwenye kufahamu naomba nisadie jina la shule...
I hope mu wazima wanaJf
Naomba kuelimishwa jinsi ya kupata matokeo ya veta level two mwaka 2016 nipo mbali na chuo au yapo kwenye mtandao upi samahani naomba mnijuze
Hello JF,
Leo ningependa kutoa wazo,
Courses zetu za vyuo ziwe zina encourage independent learning, i believe ukiisoma topic mwenyewe unaielewa kuliko kukremishwa darasani,
Sio mfumo wa kufanya...
Napenda kujua walimu walioajiriwa mwaka huu.TGTS ya mshahara wao ni mpya au ya mwka2015? Pia watalipwa mshahara mwezi huu au mwezi ujao? Na increments yao ni mwezi UPI kula mwaka?
Wakuu naombeni kuuliza maana sielewi naonaa watu wanatafuta kazi kibao kwa vitengo tofautii ila cha ajabu uandishi wa habari nimeona Thread moja tu.....
Sasa naomba kujuzwa uandishi wa habari...
Habari wakuu Nina Mtoto wa Ndungu ya (KE) kamaliza shule mwaka Jana bahat mby kafeli Ameniomb nimsaidie kutafuta Course ya kusomea matokea yake ni Hata
Chem D English C Math F Kiswahili C Civ D...
Artistically, teaching is a job of laughing with children, playing with pupils, and arguing with students. One can ask; 'playing with children??? What if your class has also old people? I can...
Kuandika ujumbe na kupakia picha na video limekuwa jambo la kawaida kwa karibu watu 1.8 bilioni wanaotumia mtandao wa kijamii wa Facebook.
Ingawa ujumbe wako wa siasa au salama za heri, pongezi...
Baada ya kuona kuna mkanganyiko mkubwa, nimeamua kuwaelewesha wenzangu wanaotaka kusomea mambo ya nursing kwa kozi yoyote ile.
1. CERTIFICATE (Ngazi ya cheti)
Mwombaji awe na D TATU ktk masomo...
Nimedhamiria kufanya mapinduzi ya ki mfumo hasa katika upande wa elimu,mikopo pamoja na afya pia wanafunzi watapata nafasi ya kuchangia katika masuala mbalimbali ya uendeshaji wa gvt ya WISO
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.