Yapata Kama mwezi mmoja toka viongozi ya Chama cha Ualimu Tanzania kutolea povu serikali wakidai kulipwa madai yao kinyume cha hapo wangetangaza mgomo nchi nzima! Lakini mpaka leo kimya hakuna...
Nimekuwa kwenye tasnia hii ya elimu kwa takribani miaka 11 sasa. Katika kipindi chote nimeweza kuwakwenye taasisi saba za elimu katika ngazi mbalimbali. Kwenye taasisi zote kumekuwa na walimu...
Habari wakuu
Ni kilio kikubwa sana kilichotawala hapa Tz watoto wamepotezwa muelekeo wa elimu baada ya vigezo kupanda zaidi ya vile vinavotumika kwa baadhi ya nchi.
Imepelekea watoto wengi...
Walimu wenzangu wa ajira mpya, naomba mtupe taarifa kuhusu malipo ya pesa za kujikimu na nauli ktk halmashauri zenu.
Mimi niko halmashauri ya wilaya ya Missenyi. Mpaka sasa hatujapewa chochote na...
Habari wana JF mimi ni mhitimu wa form six 2015 na niliandika barua ya kuahiriasha mafunzo ya JKT.... napenda mnaojua mnisaidie kujua utaratibu wa kujiunga na JKT mujibu wa sheria mwaka huu.
Wakuu,
Naomba kufahamishwa course unit za LLB ya pale OUT!
Ziko ngapi kiujumla?
Mwaka wa kwanza mwanachuo hutakiwa kuzisoma ngapi?
Mwaka wa pili na watatu zinakuwa ngapi?
Natanguliza shukrani?
Wakubwa ivi watu walio somea MD alafu wakaajiliwa katika private je hua wanalipwa zaid kushinda serikalini au wapo sawa au kwenye private wanadidimiza.
Ukimweka chura kwenye maji na ukaanza kuyachemsha maji, kadri joto la maji linavyozidi mwili wa chura utakuwa unajibadili joto lake pia kuendana na lile la maji. Chura ataendelea kuongeza joto la...
Habari Wakuu!
naomba kujuzwa kama hapa kwetu TANZANIA kuna Chuo Kikuu ambacho kinatoa shahada ya Sound engineering, na kama hakuna hata chenye mpango wa kutoa shahada tajwa, ahsanteni na...
Hizi ni program ambazo zinanichanganya sana katika kufanya selection hadi nahisi kupoteza mda.
Huend sina ufaham wa kutosha ipi ni bora kushinda nyingine au ni ipi inaweza kunifanya nikawa si...
Habarini za weekend wanaJF;
Nimesikitishwa sana na hizi video au post ambazo Mwalimu anapost au anasambaza mitandaoni huku akiwa anafundisha, tena anaonesha jinsi gani mwanafunzi anayemfundisha...
Kuna wakati nilikua nikiwaza juu ya kutengeneza kitu sana sana katika swala la Elimu. Sasa nimefanikiwa kutengeneza app like game inaitwa Endless mathematics quiz, ni app ambayo nimeiweka...
Hi!
Here I am asking you guys to help me with the book titled "Reason to stay Alive" written by Matt Haig.
This is my Last resort, please Help me with this book.
Your Help will be Much Appreciated.
Heshima mbele.
Wakuu naomba mwenye link au copy ya vitabu hivi,
1. Kivuli Kinaishi
2. Nagona
3. Hekaheka
4. Maajabu yaliyomkuta Allan Quaterman
5. Mashimo ya Mfalme Suleiman
6. Kusadikika
Amani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.