Ninashangaa na nakuwa na sintofahamu baada ya kutuma vyeti kwenye email za wizala ya elimu na kukosa kwenye orodha ya waliotuma vyeti na kupelekea kukosa kwenye orodha ya waliopangiwa vituo vya...
Ndugu wananchi wenzangu mliopo mwanza au nje ya mwanza mnaosomesha watoto wenu katika shule ya alliance iliopo maeneo ya mahina mkoani mwanza.Kumekuwepo na mtindo wa shule hii kunyima wanafunzi...
Ndugu wanajamvi,Naombeni kujuzwa chuo chetu imeingia Hela ya Heslb tangu Tarehe 26 mwezi huu kwenye Account ya chuo.
Ndugu wanajamvi hiii pesa ni yangu ambayo ilienda chuo kingine na...
Wana JF naombeni maelezo kidogo kuhusu hili..kuna baadh ya vyuo vinafanya usajir wake wa wanafunzi ( certificate & diploma ) kupitia chuoni moja kwa moja bila kupitia NACTE japokua vimesajiliwa...
Habarini za muda huu wakuu,,
Naomba kuchukua fursa hii adhimu kabisa kumshukuru SIR. NGAIZA kwa kufanya revolution kubwa sana ambayo ni msaada mkubwa kabisa katika kujifunza somo la advance...
Wanafunzi huwa wanajichagulia wenyewe vyuo 3 kati ya vyuo vingi vilivyoko nchini kwa kutumia mtandao ya internet au simu unaoendeshwa na ama TCU au NACTE. Kati ya vyuo hivyo vitatu alivyovichagua...
Kuna tuliomaliza kidato cha nne 2016 tukajaribu kuomba vyuo kupitia CAS mwezi March 2017 hatukupata. Tulijibiwa tusubiri mpaka itakapotangazwa tena . Baadhi tulilipa 30,000/= kwa M-Pesa na...
Walimu wa ajira mpya wanaotaabika kwa kutokufahamu walipopangiwa, uliza hapa ili upate msaada kutoka kwa walimu wa shule husika au wakazi wa sehemu husika.
mambo ya kuuliza ni kama yafuatayo...
Nataka kusoma online lakini sijua namna ya kujiunga ki ufup sifaham namna mambo yanavyokwenda kwahyo kwa yule anaefaham anaweza kunisaindia.
dezzypaul23@gmeil.com
My email
Hello JF Members,
A mobile phone can be a surprisingly good companion for everyone who wants to have access to their eBooks all day long. Most of us don’t consider our phones as a serious...
Fikiria uko jikoni ukiandaa chakula cha jioni. Watoto wako wawili wadogo Fred na Joe wanacheza sebuleni. Salome yuko mezani akifanya kazi za shule.
Mara unasikia mlio wa kitu kuvunjika sebuleni...
Wadau naomba mnijuze haya yafuatayo kuhusu namalenga.
nauli kutoka shuleni hadi masasi mjini ambako ndiko makao makuu ya Masasi DC
kama shule ni ya kuwa au bweni.
kama shle ina advance au laa...
Ni upi utofauti wa level tajwa apo juu ndani ya nchi hii? Au utofauti ni kwenye hizo phrases tu bt evrything ni sawa? Nimefanya utafit mdogo (field of accounting TZ) wahitim wengi wa Adv Diploma...
Kichwa cha habari chahusika
Serikali imetoa ajira Kwa walimu wa sayansi
But katika orodha hiyo yapo majina ya walimu watatu wa masomo ya arts
Na wote wamepangwa Bukoba municipal na wote...
Wakuu heri ya jumatatu ya pasaka
Naomba tushirikiane kuhusu mtazamo wa Rais
Mh.Rais anaamini UDSM ndio chuo pekee kinachostahili kuitwa chuo kikuu
Labda kwasababu naye kabahatika kusoma ud...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.