Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
www.materialzacpa.blogspot.com
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Binafsi nimesoma 1.The Davinci Code 2.The Alchemist 3. Bible-Zijamaliza Mwenye soft Copy ya hivo vilivobaki na umevisoma share hapa please Sincerely, Ethos.
7 Reactions
208 Replies
27K Views
NJIA NA TARATIBU ZIPI NI RAHISI KUBADILISHA KITUO CHA KAZI? 1. Kabla au baada ya kuripoti kituo cha kazi? 2. kutoka nje ya mkoa/wilaya au kubadirisha kwa ndani ya mkoa/wilaya? 3. Ni taratibu...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nahitaji kujua makao makauu ya wilaya ya Missenyi yako wapi! kwa maana kwamba, ofisi za halamashauri ya wilaya ya Missenyi sipo wapi! 'Nime-google' ila sijapata taarifa zozote kuhusu makao makuu...
0 Reactions
51 Replies
11K Views
Habari wana jamii forum,naomba kujuzwa kama veta kuna kozi ya ufundi wa sim.Pia nahitaji kujua gharama zake.
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Kwa hili mkuu nahisi kakwama!!!!Waziri wa elimu Mpe ushauri kwa kweli watoto wa wanyonge wataisoma # la si hivyo
0 Reactions
3 Replies
887 Views
habari za leo wakuu,mwenye mawasiliano na uongozi wa shule tajwa hapo juu naomba anipatie.pia kama kuna taarifa za ziada kuhusu ubora wa shule. thanks in advance
1 Reactions
1 Replies
6K Views
WanaJF sor guys huwa napokea shlng 250000 kwa mwez ila huwa nashndwa ipangia mambo mazur ya kufanya ingawa nmepanga kwahyo inaisha bla hata mimi kujua nmeifanyia nn cha maana.So naomben ushaur jns...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
selikali ilitangaza kuwa itaajiri waimu wapatao elfu 4,000 desember mwaka jana lakini kilichotokea wameweza kuajiri walimu elfu tatu na kuwaacha walimu takribani ya elfu moja wakiwa mtaani na...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Habari wa Jf Thinkers! Kuna ndugu yangu yuko Musoma amepangiwa katika shule ya sekondari Ngwelo iliyoko katika wilaya ya Lushoto. Anaomba Msaada Kufahamu Mazingira Ya Shule, Umbali Kutoka...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Habari zenu wana jf Mimi ni mwalimu mpya wa wa sayansi nimepangiwa shule ya secondary chisorya BUNDA naomba kwa mtu yeyote anaeifahamu anaweza kunipa information za shule hiyo na mazingira ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
habari wana Jf...mi ni mgeni humu ila naimaini nitasaidiwa.. Mimi nataka kujiunga Chuo kuanzia certificate ya ICT... Je kama hesabu nimefeli...harafu Physcs,English na vipindi vingine...
1 Reactions
11 Replies
8K Views
Mimi ni mwanafunzi wa chuo mwaka wa kwanza nilikosa mkopo ila wazazi wakafanikiwa kunilipia ada ya semister moja amabayo imeisha mwezi huu wa tatu tatizo sasa ni ada ya semister ijayo maana mzazi...
1 Reactions
43 Replies
5K Views
Habari wadau:Mdogo wangu amepata post ya ualimu,Shule inaitwa Msalato Dodoma,Maelekezo tafadhali Geographia ya shule.Asante
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Ndugu zangu wana body, poleni kwa mihangaiko katika kujenga nchi yetu ya Tanzania. Mimi nina degree ya elimu(Bachelor of Education Languages) na kwa sasa ni Mwalimu, natamani kusoma masters lakini...
1 Reactions
10 Replies
6K Views
Serikali kupitia wizara ya elimu, ilisema itaajiri walimu wa sayansi tuu na kwamba kwa masomo ya sanaa kuna ziada ya walimu 7000+ Ni kweli kwamba serikali imetangaza ajira mpya za walimu 3081...
2 Reactions
21 Replies
7K Views
Tangazo la leo kuwa mwafunzi ajichagulie chuo kikuu cha kusoma linaenda kuvirudisha vyuo vikuu vya taasisi za kidini nchini. Mpango wa TCU wa kuwapangia wanafunzi chuo gani wasome uliyumbisha na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Katika Uzinduzi wa Hostel za UDSM leo,nanukuu maneno yake; Magufuli: Nikishafungua Mloganzila, wanafunzi wa Medicine wahame hapa. Najua VC unahitaji wanafunzi wengi lakini jiandae kuwaachia...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Habari... Nauliza hivi open university wanatoa diploma? na kama ipo ni zipi na je unaweza kusoma ukiwa nyumbani?... Kwa maana huyo mtu hataki kwenda vipindi vya asubuhi wala jioni anataka kukaa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom