Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Sifa za kujiunga na diploma unatakiwa uwe na certificate yenye GPA ya ngap???
0 Reactions
0 Replies
688 Views
Wadau kwa mliosoma advance combination za science naamini huyu Mkandawille mnamfahamu. Historia yake inasemekana alikuwa akisoma MD Muhimbili akaacha ili afundishe chemistry adv tuition. Kiukweli...
9 Reactions
85 Replies
15K Views
Kompyuta Programming ni kipengele chenye Umuhimu wa Kipekee kabisa Katika Uwanja wa masomo ya Sayansi ya Komputer, vile vile ni Msingi mkuu wa Karne Ya ishirini na Moja, Ambayo imetajwa rasmi...
3 Reactions
8 Replies
8K Views
Kama heading inavyosomeka hapo juu, mimi mwenzenu uvumilivu umenishinda, maisha ya chuo bila mkopo sio kitu rahisi, nimeamua kufungasha kila kilicho changu nimerudi home!
24 Reactions
73 Replies
8K Views
Mwaka huu ninatumai nitaomba kusoma chuo kataka ngazi ya bachelor degree, je! Kati ya Information technology (IT) na psychology and counseling bora nichague ipi?? NB: tayari nimeshajiriwa.
0 Reactions
0 Replies
726 Views
Jamani Mimi ni Mwalimu nimesoma B.A Ed.Sasa natamani kusoma Bachelor of Law Open University lakini sijui nitamudu vipi masomo yangu.Tafadhali naombeni mawazo yenu.
2 Reactions
6 Replies
4K Views
Wakuu na hitaji kujua Kuhusu business administration evening class utaratibu upoje Yani Ada, na muda wa kuanza na kumaliza vipindi nimeangalia prospectus na guide book haija elezwa Asante sana
0 Reactions
27 Replies
7K Views
Kuna wakati unakuwa mahali, halafu unahisi kwamba ulishakuwa mahali hapo kabla, na pengine ukiwa na watu wale wale. Lakini, kwa unavyojua, hujawahi kuwepo hapo, wala kuwa na watu hao. Hali ya...
5 Reactions
5 Replies
3K Views
habari,,wanajamvi wezangu,,,Mimi ni kijana niliehitimu kidato cha sita 2016 Ba kupata marks HISTORY=D,,GEOGRAPHY=C,,,,ENGLISH =C Kwa anaejua cozi itakayo niwezesha kusomea masuala ya kupambana na...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Habari zenu wana jamii forums..natumaini wote ni wazima..hivi neno expression payment kwenye masuala ya motor vehicle insurance and policy ina maana gani .
0 Reactions
0 Replies
698 Views
Wakati chuo kikuu cha udsm kikielekea kwenye uchaguzi wa serikali ya wanafunzi daruso ambayo kwa siku za karibuni imekosa msisimko tofauti na miaka ya nyuma ambapo ilkuwa daruso inatoa viongozi...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Japo sasa elimu yangu ni ndogo (kidato cha nne, ila naendelea na masomo). Na malengo yangu nije kuwa mtu mashuhuli, kitaifa na hata kimataifa. Ila kikwazo kikubwa ni hii lugha ya kiingereza...
8 Reactions
71 Replies
17K Views
Naomba kujau tofauti kati ya hizo courses. BASIC TECHNICIAN CERTIFICATE IN CLINICAL MEDICINE Level 4 TECHNICIAN CERTIFICATE IN CLINICAL MEDICINE LEVEL 5...
0 Reactions
1 Replies
546 Views
Barabara zinajengwa na Wachina, Wajapan, Waitaly huku upenuni kwetu, wanafunzi wetu wanajifungia tu vyumbani wakikariri vitu vya kizamani ambavyo katika Ulimwengu wa Engineering havipo tena. Hivi...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Sasa pamezuka ubishi.. Paleee kijiweni kwetu tunapokunywa kahawa. Watu wamebishana weee mi nkaomba breki nkaja kuandika huu uzi. Akaongea mdogo wake fataki bwana ' mnajua kuwafukuza shule watoto...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nipo napatikana UDOM-Informatics Nasoma Bsc Telecommunication Engineering Second year. Kwa mawasiliano ni PM
1 Reactions
2 Replies
803 Views
Jamani naomba msaada mnieleweshe,nataka kujiunga na chuo kikuu Huria Tanzania kwa Ngazi ya cheti katika fani ya human resource Management..... Nilipata alama zifatazo; 1-Civics C 2-History...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Habari wadau!nasikia wanao soma kozi hii wanakwenda kuwa walimu, lakini pia nimesikia mtu anaweza kufanya kazi nyingine kupitia hii kozi. Naomba kufahamishwa kwa mtu ambae kasomea Bsc with...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Daaah.....serekali ijaribu angalau kuangalia maisha ya waalmu jaman........kazi ni kubwa lakin mshahara mdogo......waalimu hawapati mda wa ziada kufanya extra work ili angalau kuongeza...
8 Reactions
97 Replies
7K Views
Hivi natakiwa kufanya nasomo yote au niliofeli tu.
1 Reactions
7 Replies
8K Views
Back
Top Bottom