Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Utakuta kuna kozi za bachelor of science with education ,bachelor of science in education pia bachelor of education and science . Hizi kozi zinanichanganya sana hata sijui ipi ni ualimu na...
0 Reactions
13 Replies
5K Views
wakuu Kuelekea mtihani wa Necta kidato cha sita Naomba msaada wa past paper za GS
2 Reactions
54 Replies
7K Views
Natumai muwazima. Nia yangu ni kupata msaada mimi ni miongoni mwa form 5 students katika tahasusi ya hgl lakini kutokana na hali ilivyo Sasa nimekata tamaa na ningependa kurudia tena mtihani wa...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Niende direct kwenye mada kwani kwa mtazamo wangu naona kuwa Tanzania kuna wanasayansi wengi tu katika nyanja mbalimbali kama madaktari, mainjinia nk lakini watanzania wengi wamezoea kusema kuwa...
1 Reactions
2 Replies
868 Views
Wana JF naombeni msaada naombeni mnitajie vyuo vya ualimu wa msingi vya serikali vinavyopatikana mikoa ya Kilimanjaro au A r u s h a kwa mwenye kufahamu
0 Reactions
9 Replies
9K Views
Poleni sana wadogo zetu mliochagua BAED kwa mwaka huu na wanaoendelea na masomo ya ualimu wa sanaa kwa aliyo yafanya sizonje ualimu wa sanaa si kipaumbele chenu tena anza kuwekeza kwenye boom...
5 Reactions
45 Replies
6K Views
Kama upo Mwalimu Nyerere memorial academic naomba kuuliza waliochaguliwa Apr na March wanaripoti lini? Wakuu msaada!
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Wanafunzi wa chuo kikuu cha Mzumbe wanasota na njaa kutokana na kucheleweshewa pesa zao za chakula na malazi....haieleweki tatizo litaisha lini
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Nina kijana wangu wa kike matokeo ya 4m 4 ana 2.21 Civ C Hist C Geog C Kisw C Engl C Bios C Phy F Chem C Math D Anaweza pata sponsorship ya serikali/mashirika uyajuayo kusoma certificate ya...
1 Reactions
11 Replies
6K Views
B is a resident of kwetu district in the internet region. He got married to D in 2010.In may 2014 D brought divorce proceedings in kwao district in computer region. The district court dismissed...
0 Reactions
0 Replies
388 Views
Habari Nilipoingia form six, nilikuwa PCM. Kwa kweli kombi ilikuwa ngumu sana. Nilikuwa na ndoto za kuwa engineer wa majengo. Matokeo ya NECTA kutoka nikajikuta nami ni kundi la BASHITE...
3 Reactions
37 Replies
4K Views
Jaman msaada plz ni utaratibu gani unatumika kuchukua cheti baraza la mitihani ikiwa kimerudishwa kutoka shule uliyosoma??
0 Reactions
0 Replies
990 Views
State "plate tectonic theory ". Ndugu zang nimesahau kidogo hii theory inastate kivipi??
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Don't jokes with maths,ukijua recommended formulae unafilisi kampuni za simu. What u think is small things make billion its only GP and AP which make Carlos Slim the second richest man on the...
6 Reactions
107 Replies
17K Views
Poleni na kazi ya kujenga Taifa wana JF Katika kufanya tafiti zangu za kutaka kurudi tena shule kusoma masters, nimekutana na hii course ya PROJECT PLANNING AND MANAGEMENT, lakini kuna vitu...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Wadau inakuaje?tusaidiane kupata kituo cha kufanyia mitihani ya ACSEE mwaka 2018 kwa mchepuo wa PCM,kwa hapa dar Es salaam
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu bado nina mkanganyiko kuhusu masomo ya sayansi. Wakati nipo chuo niliambiwa kuwa geography ni somo la sayansi na economics ni sayansi jamii. Swali langu linajikita hasa katika kutofautisha...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
habari zenu wana JF! nimekua na mipango ya kwenda kusoma ulaya kwa ajili ya kupata exposure lakini nasikia habari za ubaguzi hasa wa rangi! je vitendo hivi bado vipo na...
0 Reactions
0 Replies
812 Views
Kama aliyesoma Ndanda Secondary school miaka ya 1971-1975 tusalimiane hapa!
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Back
Top Bottom