Habari wanajamvi! Mimi ni kijana mwenye kutafuta shule ya Kidato cha 5&6 ya private yenye sifa zifuatazo;
1. Yenye kuweza kufaulisha vizuri.
2. Yenye Hostel.
3. Ada nafuu.(chini ya M_1.5...
Ndugu zangu, naomba mtu au watu wenye uelewa mkubwa wa maisha ya masomo wanisaidie kunipatia ushauri wa kielimu
Mtihan wa kidato cha nne nna dv 3 ya 22, masomo mawili nna F, Phy na Maths
Civ nna...
Kwanza napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa uongozi mzima wa chuo kikuu cha Dar es salaam(UDSM) na Serikali ya wanafunzi wa chuoni DARUSO ambapo Leo serikali hii iliyokua madarakani kwa...
Mtumishi wa umma yeyote ambaye hakuwasilisha cheti chake au namba ya mtihani kufikia Machi 30, 2017 atakuwa amejifukuzisha kazi mwenyewe.
1. Je Bashite amefikwa?
2. Ajira zilisitishwa kwa ajili...
Habari wakuu!
Mimi ni kijana niko mwaka wa mwisho katika shahada ya Uhasibu na fedha, Ningependa kufahamu, je mtu anaweza kujisajili kufanya NBAA exams ya November huku akiwa na supplentary somo...
Baraza la mitihani Tanzania limezuia zoezi la usajili wa mitihani mtandaoni kabla ya tarehe ya mwisho wa zoezi hilo ambayo ni tar 31/3/2017. Tangu jana wanafunzi wengi wamekuwa wakihangaika...
TEGUA KITENDAWILI HIKI ILI TUONE KAMA UNAWEZA KUFIKIRIA KWA MAKINI.
KINASEMA:
"(Mimi Niwakwanza Duniani Na Niwapili (2) Mbinguni,
Huwa Natokea Na kuonekana Mara Mbili (2) Kwa Wiki Lakini Waweza...
Habarini ndugu na jamaa wa humu JF..
Kuna mdogo wangu anaaoma diploma ya ualimu ngazi ya msingi, bahati mbaya au nzuri haishi chuoni(hostel) anatokea nyumbani kwwnda masomoni kila siku siku za...
habari yenu wana jamvi? naomba mwenye info ya kuhusu kozi zinazotolewa Udsm kwa njia ya mtandao je kila kitu hufanyika online kuanzia tests mpaka UE au kipindi cha mitihani humlazimu mwanafunzi...
Husika na kichwa cha Habari njia pekee ya kuepuka kufeli ni kusoma kwa kujituma na sio kuingia na kibuti. Or cheating.. Itakukosti hakika.. Mimi nimepona Ila hujui nimepona Vipi.. Asante.. Natumai...
Kwa walio interested
Deadline: 31 December 2017
Open to: any organisation from these countries
Grant: up to EUR 10,000
Description
AmplifyChange is inviting applicants for its “Opportunity...
Waziri wa elimu alitangaza bungeni kuwa mwezi wa tatu angeajiri mbona mpaka leo hakuna kitu..au ndio ile serikali ya matamko mengi ila implementation is nothing..
Habarini wana Jf hopefull mko vyema na majukumu yenu lets meet here tujadiliane changamoto za kazi yetu na tupatiane michongo pia hasa huu ujio wa hawa wachina(Huawei) kwenye hii industry
Hivi uhamisho wa kubadilishana unatakiwa ukae muda gani kituoni ili uweze kuhama?
Maana binafsi nimekataliwa nimeambiwa mpaka nikae miaka mitatu.Naomba anayejua anijuze.
Wanajukwaa,
Hapa ndipo tutakua tukishauriana na kupeana habari za mambo tuliyosomea.
Karibuni wadau.
==========
Ikiwa taaluma muhimu katika ustawi wa jamii nzima, bila mahesabu mazuri ikiwemo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.