Hello! I am conducting a systematic review of some health interventions. My search strategy gives me thousands of publications and would want to gather and de-duplicate. I know there are several...
Waziri Kairuki aliwataka Watendaji Wakuu kuweka mikakati ya kuepuka watumishi hewa na kusimamia kwa dhati kwasababu jambo hilo limeumiza na kupoteza rasilimalifedha nyingi za Serikali.
Alisema...
Wadau habari zenu?
Kuna habari nimeipata FB kutoka Kwa mdau mmoja anasema gazeti la habari leo limeandika kwamba walimu wa Sanaa na biashara 7476 watahamishiwa shule za msingi kutokana na idadi...
Nataka kurisit mitihani kdt cha Sita ila Nanna ya kupata material kwnye kombi ya hkl na Aina ya material na vitabu ambavyo ntajisomea kwa urahisi ndo zanipa ukakasi , nategeme mwakani nipige...
wanabodi natumai mko salama..baada ya salam nijikite ktk mada husika.mimi ni mwl wa sanaa ila kulingana na kinachoendelea kuhusu ajira za uwalimu ni kizungumkuti...
sasa nilitaka kusoma afya kwa...
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU UTEUZI WA WAOMBAJI WA UDAHILI WA KOZI ZA ASTASHAHADA (CHETI) NA STASHAHADA (DIPLOMA) KWA AWAMU YA MACHI / APRILI, 2017 KWA MWAKA WA MASOMO 2016/2017
Baraza linapenda...
Watu wengi waliofanikiwa duniani mara nyingi wamekuwa wakieleza siri za kufanikiwa kuwa ukitaka kufanikiwa penda kuongelea vitu na siyo watu.
Yaani ukiongelea vitu utapata idea ya kufanya jambo...
jana katika gazeti la serikali la Habari leo liliandika walimu wa sekondari 7460 washushwa na kupelekwa shule za msingi kwa kigezo cha kuvuka ikama ya walimu wanaohitajika my take ni utaratibu upi...
wasalam,
jaman sio dharau au majivuno wala mashindano, akini kwa upande wangu ninaona ipo ivi, kwenye professoinal mbili doctors na engineers zote zinaitaji concetration ya maana kama unasoma...
habari wakuu
wale degree holder public administration enzi zile chuo tulikua tunaitwa bapa tukutane hapa na kushare ideas mbalimbali ikiwezekana pia tuanzishe group ya watsapp kukumbushana masuala...
Akiwa bungeni kipind cha maswali na majibu Mh Kairuki alisema March walimu wa sayansi na hisabati wanaajiriwa na kupangiwa vituo, baadae April afya sasa March inaisha kimya ndo kusema matamko tu...
Wadau napenda kujua vyura huwa wanazaliana vipi? Nauliza kwasababu baada tu ya mvua kunyesha wanaanza kupiga makelele, huku niliko mvua imenyesha jana na leo tu...ila saiz huko nje ni makelele...
Habari zenu wakuu,
Poleni kwa majukumu pia hongereni kwa harakati zenu mbalimbali za kujenga taifa.
Kwani JF inatoa mchango mkubwa kwa vijana mbali mbali kujua fursa na mtazamo chanya kuhusu...
Pata admissions katika vyuo bora na vya ada nafuu nchini CHINA kwa mwaka wa masomo 2017/2018
Wahitimu wa kidato cha nne,sita na diploma wanaweza kuapply.wasiliana nasi kwa maelezo zaidi
Kwa mtaalamu yeyote, naomba kupata tafsiri katika kifungu kifuatacho ili angalau nione mwelekeo utakuwaje baada ya kelele za kutaka kitumike Kiswahili hadi chuo kikuu. Kifungu hiki hapa chini...
Hili ndiyo somo nazan linaongoza had Leo kuwa na maadui wengi ambao wanalichukia
*tukumbuke mambo yetu
(α+в+¢)²= α²+в²+¢²+2(αв+в¢+¢α)
1. (α+в)²= α²+2αв+в²
2. (α+в)²= (α-в)²+4αв b
3. (α-в)²=...
Wakuu
Naomba msaada kwa wenye ufahamu na chuo bora cha ufundi cha serikali au private kinachopatikana maeneo ya mkoa wa mwanza na Kagera
Itapendeza zaidi nikipewa mchanganuo wa ada kabisa, na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.