Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
You’re most effective between when you wake up and when you eat dinner. You should accomplish as much work as possible during this time. What is your take on this?
0 Reactions
3 Replies
801 Views
Wizara ya Elimu ilitoa tamko kuwa wanafunzi wote wasome sayansi, mpaka hapo walimu wa masomo ya Sanaa na biashara hawana soko tunasomesha wasomi baadae tunawatelekeza sisi wenyewe, kwa miaka ya...
0 Reactions
0 Replies
795 Views
One of the University lecturers wrote an expressive message to his students at the doctorate, masters and bachelors level and placed it at the college entrance in the university in south Africa...
0 Reactions
1 Replies
7K Views
Wakuu naombeni ushauri wenu Katika swala Hili. Kuna hizi course tatu ambazo nataka nichague moja nisome ila nataka kujua mawazo yenu Katika hili maana nikikosea huku chini ntakua nimejialibia...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
leo najiskia kuandika tu humu leo,lol najua mama ndalichako ana washauri wengi kutoka wizara yake, ila sijui kama anashirikisha maoni ya wanafunzi katika kutoa matamko, ningependa kumwambia awa...
1 Reactions
4 Replies
982 Views
Kuna ka unafuu kuliko Tigo wapuuzi!
5 Reactions
36 Replies
7K Views
Paul Makonda ambeye ni waziri mkuu wa serikali ya wanafunzi wa MUCCOBS amewaragaraza marais zaidi ya sita kutoka katika vyuo vya elimu ya juu hapa Tanzania katika kinyang'anyiro cha kugombea...
2 Reactions
78 Replies
24K Views
Hii ilitumiwa na wamarekani in second world war baada ya wajapan kuingilia system yao ya communication. Kinachofanyika ni kwamba kila alphabet inaasigniwa namba yake Then wanatengeneza secret...
1 Reactions
6 Replies
4K Views
Waungwana mambo yamebadilika, sasa waweza soma oline na ukafika mbali na hii inawahusu hawa wanzangu namimi ambao muda wa kwenda darasani ni mgumu, option rahisi ni kusoma online. Leo nawaletea...
1 Reactions
29 Replies
5K Views
Kuna jamaa yangu ni general clinician ameniomba ushauri kuhusu specialization nikashindwa kumshauri. Awali alifikiria kuwa orthopedic lakini akahisi kama hailipi sana kwa tz au urologist vipi kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna chuo nimeapply nje ya nchi na wameniambia vyeti vya form 4 na form 6 vitumwe moja kwa moja na NECTA kwenda kwao. Je hii kitu ipo kweli? Nimewaambia naweza kuwatumia notarized copies...
0 Reactions
2 Replies
923 Views
Habari zenu... mimi ni mhitimu wa kidato cha nne mwaka 2016 matokeo yangu nimepata DIVISION IV ya 27 ambapo alama zangu ni CIVICS D HISTORY D GEOGRAPHY F KISWAHILI C ENGLISH C LIT. ENGLISH F...
0 Reactions
30 Replies
6K Views
Wakuu heshima kwenu,nilikua nahitaji kujifunza kupiga kinanda(just for fun) kwa anayefahamu pls anijulishe hapa jamvini na gharama zake.Nipo Dar.Asanteni
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Serikali imejisahau wakati chuo kipo kwenye location ya maana...!!!
1 Reactions
5 Replies
3K Views
M naomba mtu ambae anaweza nsaindia yaani sifa za kujiunga na vitu ka hvyo
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Hivi hii tahasisi mpya ya Mh.Raisi mstaafu J.M.KIKWETE imeanza kutoa ufadhili wa elimu nchini...!?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naomba msaada mwenyewe ana Link hizo au kama una soft copy zake msaada naomba vitabu vingi zaidi through marcomhagama335@gmail.com
0 Reactions
0 Replies
1K Views
FANYA UNACHOPENDA Siku zote unapofanya unachopenda unapata mafanikio yenye furaha sababu una amani na unacho kifanya ..sisemi kuwa kama unafanya usichokipenda kuwa hakileti mafanikio la hasha...
3 Reactions
9 Replies
3K Views
Salam kwenu wanajukwaa. Mimi nilihitimu kidato cha sita miaka minane iliyopita, na baada ya hapo niliamua kujiajiri mpaka sasa. Nimeamua kurudi shule kusoma mambo ya afya hasa (Clinical officer)...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Back
Top Bottom