Habari wanajf, juzi uliwekwa uzi hapa kuwa Necta wamefunga usajili kabla ya muda.
Habari nzuri ni kwamba usajili umefunguliwa tena mpaka 30/04/2017.
Mkajisajili msingoje mpaka mwishoni...
Naomba nilete ombi langu humu kwa matumaini ujumbe wangu utawafikia wawakilishi wetu,naomba wabunge wetu mtusaidie kuikumbusha serikiari sisi wahitimu wa vyuo hususana kada ya elimu tupo shidani...
mi naona kama umuhimu wa physics kwenye udaktari umekuzwa sana. pia watu wa hizo comb huwa madaktari wazuri wa wanyama nini kitawazuia kuwa madaktari wazuri wa watu? nchi inamadaktari wachache...
True Ink Associates would like to announce that CISA (Certified Information Systems Auditor) Review Classes is scheduled to commence on Monday 20/03/2017, Dar Es Salaam City Center, For those who...
UKITOA TOA BILA KUKUMBUKA
Neno KUTOA lina herufi tano ambazo ni chache sana kuliko milioni, utajiri, na kufanikiwa lakini neno hilo ndilo linatengenezea watu maneno yote hayo yenye faida...
Mambo wapendwa,
Napenda kujua chuo kikuu chenye masomo ya jioni ngazi ya degree.
Kiwe Dar-es-salaam au Pwani. Ingawa sina uhakika kama Pwani kuna vyuo vya degree. Ila kisiwe Huria.
Mwenye...
Hapo zamani za kale Abunuwasi alimuendea mfalme akamwambia anaweza kumshonea suti ya thamani sana ambayo wenye dhambi watakuwa hawaioni na wasio na dhambi tu ndio watakuwa wanaiona. Mfalme akampa...
Huwa napend kujua vitu vidogo vidogo kwanza kabla ya kuzama kuchimba na kugundua yale makubwa.
Wadau Naombeni kujuzwa mwisho wa namba ni ngapi?.
Kuna Mamoja,makumi,mamia, Maelfu n.k je Namba...
Ndgu zangu, ninaomba kuunganishwa na taasisi yeyote unayohusiana na kilichoandokwa juu ili nipate maelekezo.
Nina miaka 3 tangu nimalize shahada yangu ya kwanza ktk chuo kikuu cha DSM, Nina kiu...
Naomba kuuliza kuhusu utaratibu wa kufatwa ktk mchakato wa kuunganisha cheti.Elimu ya sekondar nilimaliza 2011 nkapass baadh ya masomo nkarudia 2016 sasa nauliza jinsi ya kuunganisha hivyo vyet...
Habari zenu wanajukwaa
Naomba kujuzwa namna ya kupata scholarship kwa nchi za africa ili ikiwezekana nikasomee huko mfano
SOUTH AFRICAN COUNTRY
EAST AFRICAN COUNTRY
Kusoma si tabia nyepesi kuijenga katika mazingira ambayo masimulizi na mazungumzo ni vyanzo vikuu vya maarifa kuliko maandishi. Tumelelewa katika utamaduni usiosisitiza sana umuhimu wa kusoma...
Habari wakuu kwa walio maliza Elimu ya secondary kuanzia mwaka 2013 katika matokeo ipo E ambayo uanzia 20-38 wakati F ni 0-20 ukiangalia vizuri E hiyo ni sawa na D ya kawaida katika mfumo wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.