Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Kozi za CBN zinaweza kusomea uguzi tz
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu. Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa pili (bachelor) kozi ya ICT nataka kufahamu mashirika ama taasisi zinazotoa field ya ICT kwa Dar es salaam maana mwaka wa kwanza nilifanya Arusha...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Wakuu habari , kama kichwa cha habari kinavyojieleza, Karibuni kwa maoni yenu.
2 Reactions
17 Replies
6K Views
Jamani wan jf habari.. Kuna ishu inanichanganya,, kwa wale waliomaliza form six 2016 na wakapandishiwa vigezo vya kwenda chuo kikuu. Vikawa ni kuanzia D mbilii.. But kuna rafiki zangu ambao...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ikumbukwe waraka wa elimu bure ulikuja na agizo la rais akikataza michango yote ya elimu, na kweli January 2016 michango ikafutwa na waliochangishwa baada ya hapo wakatumbuliwa immediately. Sasa...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Maisha ni mifumo bila mifumo hakuna maisha. Mfumo wa hewa,wa chakula, wa damu na mfumo wa kutoa uchafu! Hata uoge namna gani au uwe na akili kiasi gani bila mfumo umekwisha na uhai wako lazima...
0 Reactions
0 Replies
795 Views
1)soko la wanaomaliza pale hasa wa hivi karibuni likoje kwa maana kuajirika au kujiajiri na mshahara kwa case ya kwanza na makusanyo binafsi kwa case ya pili? Lengo langu mimi ni kuona ni jinsi...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Naomba mnitajie shule nzuri ya A level ya private ya boarding zinazopatikana mikoa ya -Tanga -Kilimanjaro -Singida -Mwanza -Arusha Ada isizidi 1M. Asanten
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Et jaman imetangazwa kufutwa comb ya cbg na pgm?
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Mheshimiwa rais tafadhari sana nakuomba nipo chini ya miguu yako naomba utengue kauli yako kuhusu wanafunzi wale tuliosoma shule za kulipia kwamba hatupaswi kupewa mkopo. Mwanzoni kabla ya hili...
3 Reactions
34 Replies
3K Views
Kama hakuna tatizo la kimtandao, tarehe 25 ndo tarehe rasmi ya kutangazwa kwa ajira ili watu wajiandae kwa ajili ya kuanza kuwasili vituo walivyopangiwa kuanzia tarehe 1 hadi 9 ya mwezi...
2 Reactions
31 Replies
5K Views
Mimi ni kijana mweye umri wa miaka 21 nilipata bahati ya kufaulu mtihani wa la 7 ila sikuweza kwenda kuripoti shuleni kwa sababu ya usawa ulikaba. Sasa niko tayari kurudi shule nataka kusoma QT...
0 Reactions
28 Replies
15K Views
Wakuu Poleni na kazi Ivi 'past tense ya ring' ni ipi?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mimi ni mhitimu wa Bach. Of Arts In Geography and Environmental Studies (Ba,GE's) kutoka chuo kikuu cha Dodoma 2016. Baada ya kumaliza Degree yangu ya kwanza natamani kujiendeleza zaidi kimasomo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nimehitimu kidato cha NNE mwaka Jana na Nina 2. Na ninataka kujiunga cha chuo cha afya kozi ya clinical officer;je wadau mnaniambiaje?na ni chuo gan kizuri nachoweza kuchukuliwa kma cha serikali?
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Habar JF ningpenda kujua ivi kutoka diploma kwenda degree kwa kozi ya IT naweza chukua mkopo??.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
ENZI ZA SEKONDARI John ana miaka 10 pungufu ya Baba yake mama yake ana miaka 40, miaka 20 zaidi ya john.Tafuta umri wa.. 1.john 2.Baba 3.Mama ......Hilo swali...
0 Reactions
0 Replies
528 Views
Hivi Rais wa chama cha walimu anapatikanaje? Na anadumu madarakani kwa muda wa miaka mingapi? Mchakato wake ni kama nilivyoona kwa Rais wa TLS? Maaanaa.......
1 Reactions
1 Replies
897 Views
Nafanya kazi tasisi fulani ,sijaajiriwa nafanya kama contract nimefanya nao kwa muda wa miaka mitano hivi. Elimu yangu ni ya Secondary ambaye nilifeli kidato cha nne yaani sikupata Certificate...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Back
Top Bottom