Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Naomba mwenye mawasiliano na mkuu wa shule ya Buhembe English medium na Steven Secondary school,zilizopo Bukoba anisaidie.
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Hello jamani.. Naomba ushauri wa mawazo. Mm nataka kuanza chuo lakini am struggling a bit kwa sababu napenda Kuwa innovative na mbunifu sana na nahisi nikisomea mambo ya designing architecture...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Ningependa kujiunga oktoba kwa masomo ya jion QT kwa Advanced Level, je ntawezapata nafasi au nmechelewa ili niweze kufanya mtihani mwakan mwez wa 4 cjui wa 5 mwakan, naomba ushaur wenu wadau
0 Reactions
12 Replies
6K Views
Wakuu , NACTE mbona wako kimya? yani hawatoi hizo selection na muda unazidi kuyoyoma. msaada kwa mwenye idea juu ya hili
1 Reactions
13 Replies
1K Views
nawaomba waboyzia, mawarsaw, walambo na wakazima tukumbushie mambo ya enzi zetu mimi ni product ya 2010-2012 watoto wa dula
0 Reactions
28 Replies
9K Views
Wadau wote waliosoma Pamba secondary enzi hizo, karibuni mtueleze mnayoyakumbuka bila kusahau watu mashuhuri waliowahi kupitia hapo na majina yao!
1 Reactions
40 Replies
7K Views
Habari za muda huu wadau, Naomba kufahamishwa kama kuna uwezekano wa mwanafunzi aliyesoma shule za Tanzania bara kwenda kujiunga na vyuo vya Zanzibar kama vile KARUME TECHNICAL COLLEGE,ZANZIBAR...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Msaada jamani, Kwa wale wanafunzi waliosomea nje ya nchi especially Uganda tunaomba msaada jinsi ya ku apply TCU kwa anayefaham coz mwaka huu inakuwa ngumu kufanya application na hawajatoa sababu...
1 Reactions
34 Replies
10K Views
Wakuu, wapi naweza jifunza kiarabu vema kwa DSM?
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Habari zenu wataalamu wa elimu! Kuna jambo linanitatiza sana! nilipomaliza mtihani wa form four 2009 kati ya mitihani yangu saba matokeo yaliyotetwa ni ya mitihani sita tuu! somo moja la civics...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ni kweli kwamba, ukiwa mwalimu wa shule ya msingi huruhusiwi kujiendeleza na kozi nyengine? Nina rafiki yangu kamaliza kidato cha nne mwaka jana(2016), matokeo yake ni Phy f, chem c, math D, bio...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Nacte imeshafunga usajili?
0 Reactions
1 Replies
955 Views
Hellow? The above,topic is referred (give reason for your answer).as we see there are so many graduates from different learning institutions,are looking for job or employments so lets discuss and...
0 Reactions
0 Replies
377 Views
Baraza la mitihani nchini(NECTA) leo Februari 18, 2016 limetoa matokeo ya mtihani wa kidato cha nne iliyofanyika mwishoni mwa mwaka 2015. Ufaulu umeshuka kwa 1.85% toka 69.75% mwaka 2014 hadi...
4 Reactions
324 Replies
260K Views
Deleted member 421398
Tatizo watu hamjaelewa kitu unajua elimu ya form 4 na 6 ukiwa na alama A A B A B A F au A B D kwa form 6 unapata cheti chako tena bila bugudha yoyote tatizo chuo kikuu ukipata alama D au wengine...
0 Reactions
0 Replies
610 Views
Wilaya ya Urambo inapatika mkoa wa Tabora ambapo kuna shida kubwa juu ya Uongozi Wa Afisa elimu na taaluma kwa kuendekeza uhuni kwenye taaluma ya vijana wetu.? Kuna thread ilianzishwa miaka kana...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Chama cha walimu Tanzania ni chama kilichoanzishwa kwa kufuata sheria ya vyama vya kijamii ila cha ajabu walimu walioko nje ya ajira za serikali hawatambuliki na CWT wakati vyama vya...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari mwaka 2009 nilimaliza kidato cha sita pale Majengo sekondari moshi. matokeo yalipotoka nilikuwa na daraja sifuri yaani GS-S PHY-F CHEM-F na MATHS-F. Mwaka uliofuata niliamua kurudia...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Swali: Wewe una umri wa miaka sita 6,umemzidi mdogo wako miaka mitatu 3 Mdogo wako ana umri nusu 1/2 ya miaka yako. Je? utakapofikisha miaka 70 mdogo wako atakuwa na umri gani...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Naulza hv mfumo wa kumwezesha mwanafunz alokosa sifa za kujiunga na chet anaweza kujiunga kupitia NABE na mfumo unaojulikana wizarani na hauna madhara????
0 Reactions
0 Replies
937 Views
Back
Top Bottom