Habari Wakuu na wenyeji wa humu, Napenda kutanguliza salamu zangu kwenu awali ya yote.
pili naomba kufahamishwa kwa anaetambua kuhusu hawa Jamaa NACTE je wamekwisha kufanya selection? ama bado...
Yaani bado watu wanaishi kwa Mazoea na kufikiri kwa Mazoea.
Ukweli ni kua:-
Kupata Zero ni tatizo, tena tatizo kubwa sana. Zero ni sawa na umeishia elimu ya Upe.(universal primary education)...
SISI wanafunzi wa Lugoba Shule ya Sekondari tumesimamishwa shule bure kwa kisingizio kuwa ndio tuliosababisha moto ulioteketeza mabweni mawili shuleni.
Hii si kweli na tunaiomba serikali...
Habari zenu wakuu, nimeona kwenye website ya Law school of Tanzania kuwa wameshaselect wanafunzi kwa ajili ya intake za April na August 2017. Lakini nafikiri kutokana na heavy traffic muda huu...
Mwenye notice au material yoyote kuhusu some tajwa apo juu naomba anisaidie kwa level yoyote iwe bachelor au diploma kwa wale wanaosoma mambo ya Information technology.
Unaweza kunitumia kupitia...
In relatively small amounts, carbonic acid is a chemical that can be found in sources such as human blood, carbonated beverages, and even rainwater. ... Carbonic acid is a weakacid that's formed...
Wakati nchi iko katika hoja nzito ya uhalali wa vyeti vya mh RC
Kuna kitu nimekikumbuka ambacho nimeshindwa kupata majibu...
"Hakuna mtahiniwa anayeruhusiwa kutoka nje ya chumba cha mtihani nusu...
alternatives hizi ukizifuata utafanikiwa ..
1. kama O level ulisoma science mwakani tafuta chuo ukasome diploma au certificate ya course ya afya eg nursing ,,clinical medicine etc
2. kama o level...
Kijana mmoja alikua na ndoto siku moja awe mwandishi wa filamu na muigizaji mkubwa nchini Marekani..
Alijaribu kuandika baadhi ya filamu nyingi na kuzipeleka kwa waongozaji filamu wakubwa kipindi...
Eti MTU akisoma diploma miaka ya degree ina pungua lakini akisoma a level miaka ya degree inakua vile vile mfana diploma ya mining no miaka mitatu hivyo degree in miaka mitatu badala ya minne
Kama ukitafuta ukweli kuhusu wangapi leo wasiotumia majina yao walioanza nayo darara la kwanza utashikwa na butwaa. Kuna umati mkubwa wa watu ambao wameshikilia nyazifa mbalimbali ambao majina...
Nnahitaji sana kwenda chuo kuliko Advance ila kujua ipi fan bora na yenye maslahi ndio nashindwa
Msaada wa ushauri ndugu zng
Matokeo ni Maths F
Phys F
Chem C
Bios C
Civ D
Kisw C
Engl C
Geo C...
Naomba kuuliza kwa wanaofahamu, je kwa mwaka huu interview ya kujiunga na kidato cha tano kwa shule ya Sekondari ya Cornerstone leadership academy kwenye kituo cha Dar itakuwa lini na itafanyikia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.