Habari za wana Jf Poleni na majukum
Miaka miwili iliyopita Wizara ya afya Kupitia Global Fund Foundation ilitoa udhamini kwa baadhi ya Vyuo vya afya nchini Tanzania moja ya vyuo hivo ni Kondoa na...
Habarini wana Jf mimi ni kijana ambae navutiwa saana na cosmology pamoja na astrophysics japokua nna carier nyingine(medical).Nahitaji msaada wa kuwapata wataalamu wa fani hizo nataka kupata...
Shule ina milikiwa na Jimbo katoliki-Musoma,ina walimu wenye sifa na huduma nzuri(bweni), maji na umeme. Tuna tahasusi zifuatazo PCB, PCM, CBG& HGL. Kwa maelezo zaidi piga 0789443404
Ndugu Walimu na Watanzania kwa ujumla , napenda kutambulisha Chama Kipya cha Kutetea Haki na Masilahi ya Walimu Tanzania (CHAKAMWATA), kwa niaba ya Viongozi wa Chama Kitaifa.
Chama kimelenga...
inakuaje mwelekeo wa masomo kwa mtu aliyesoma nje na kufaulu vizuri tu ila akakosa mkopo wa kujiendeleza kwa sababu ya uraia,licha yakuwa na ufaulu na vigezo vya kupata mkopo?
Kwa wale tuliotiwa nyavuni, mechi za ufunguzi zitaanza kuchezwa kuanzia tarehe 22/sept hadi 26/sept. Hivyo popote pale ulipo nakushauri piga shule sana ndugu yangu.over
mimi ni muhitimu kutoka UDOM nilimaliza mwaka jana,ila hatukusaini ada ya semister ya mwisho kutoka bodi ya mikopo ila nasikia majina yametoka na tunatakiwa tukasaini,maana usiposaini utahesabika...
Ndg zangu habari za Leo
Nimeyaona majina ya walimu watakaoajiliwa hivi punde na serikali wa sayansi na hisabati lakini cha kusikitisha kuna watu waliingia chuo kwa indirect entry yaani DIPLOMA...
Habari waungwana
Natumai weekend yenu iko poa sana.
Hebu leo tujaribu kidogo kuangalia historia ya nchi zilizoendeea ni kitu gani wameanza mpk wakafikia pae walipo sasa.
Angalia nchi kama Japan...
nakumbuka sera ya "rais wa wanyonge" ndiyo ilinipa nguvu kuja kumwona jukwaani dec 2015, ni miez kadhaa tu tangu nimalize chuo kikuu nikitumainia namaliza chuo mnyonge nakutana na mnyonge kiongozi...
December 15 2016 Waziri wa elimu, sayansi na teknolojia Prof. Joyce Ndalichako anekutana Dodoma na wadau mbalimbali wa sekta ya elimu ili kujadili namna sahihi ya kuboresha sekta hiyo katika...
Wakuu habari kwa walimu waliokumbwa na uhamisho wa Mh Waziri mkuu Je uhamisho umekaaje?je hakina uonevu?
Je hakuna aliyetumia fursa ya ugomvi kumtupa mtu mbali?
Je maslahi yenu mmelipwa?n kama...
Habari za muda huu members jf-elimu!nikiri kuwa ni Mara yangu ya kwanza kupost humu jf-elimu.Ninaomba ushauri,mdogo wangu amemaliza kidato cha NNE kama private candidate na amepata div.four ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.