Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Mimi ni mhitimu wa kidato cha 6 mwaka huu na nmesoma PCM. Baada ya matokeo kutoka, nimefaulu vizuri hasa katika somo la mathematics. Kwa kipindi hiki nimekuwa nikishauriwa sana niende kozi ya...
1 Reactions
7 Replies
5K Views
Nmechaguliwa hii kozi ya bachelor of education in science naomba kuuliza future yake na vipi upatkanaj wa ajra kuhusu hii kozi kwa yeyote mwenye uelewa naomba msaada
0 Reactions
47 Replies
8K Views
Habari wana JF. Itifaki imezingatiwa. MADA:Tanzania ni nchi masikini kwa sababu utajiri wa rasilimali zake unaliwa na wachache?
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Habari zenu wadau Mimi nimemalz kidato cha 4 since mwaka 2015 kwa matokeo aya B/MATH C, HIST C ,GEOG C,CIVICS D,KSW C,ENG D,BIO D,buh sikufanikiwa kuendelea na kidato cha tano kwa kuwa...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
habari wana jukwaa nina mdogo wangu amemaliza kidato cha 6 mwaka jana amekosa mkopo ameamua kuomba diploma medical lab muda wa maombi ukifika sasa kama kuna MASHIRIKA mbalimbali ya afya yanayo...
0 Reactions
1 Replies
580 Views
habari wana jukwaa nina mdogo wangu amemaliza mwaka jana kidato cha 6 mkopo alikosa ameamua kwenda diploma ya medical lab sasa anauliza kama kuna mashirika ya kiafya yanayoweza kumpa sponsor
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Njia za kutimiza malengo yako: Njia hizi zilisemwa na LEO BABAUTA mwandishi mashuhuri wa vitabu marekani na mmiliki wa blog ujilikanayo kwa jina la ZEN HABITS ila mimi nimezielezea kwa uelewa...
2 Reactions
0 Replies
4K Views
Habari wana jamvi, kuna kozi naitaji kusoma na nimejaribu kutafuta ufadhili kwa mwaka wa pili huu bado sijafanikiwa. Scholarship nyingi zinazotoka huwa wanaorodhesha kozi zao wanazotaka kufadhili...
0 Reactions
0 Replies
915 Views
Habari waungwana, Kama tujuavyo, Bodi ya mikopo nchini imeanza kutoa majina ya waliobahatika kupata mikopo ikiwemo na tangazo linaloelezea mikopo inatokaje mwaka huu. Wengi wamekumbwa na...
0 Reactions
1K Replies
113K Views
,.Naomba mnijuze kama inawezekana kwa aliyesoma HGE kupata nafasi na kumudu kozi y Architecture,Building Economics,BAF hapo chuoni
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kwa wadau wote walopita/wanaopita MUM waje hapa tupeane updates . Karibuni sana bila kuchafua hali ya hewa hata kwa ambao hawajapita hapo wanakaribishwa kushare ideas kwa hekima na busara.
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Aje wadau. Mimi nilichukua HGK HGK ni moja ya michepuo ya masomo ya sayansi jamii yaliyopo ichini. Hujumuisha history, Geography, na Kiswahili. Mchepuo huu umenipa faida zifuatazo;- 1. Kutunga...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Laptop haitaki kuwaka taa ya Wi-Fi lengo ni kukonect wireless nisaidieni Nifanyaje.
1 Reactions
11 Replies
1K Views
1. Mtoto anapozaliwa anafanyiwa sherehe baada ya siku arobaini 2. Binadam anapofariki anafanyiwa sherehe baada ya siku arobaini 3. Yesu alifunga kwa siku arobani 3. Wana wa israeil walikaa...
1 Reactions
20 Replies
30K Views
TAARIFA YA AWALI YA MTANDAO WA WANAFUNZI TANZANIA JUU YA MAANDAMANO YA WANAFUNZI HUKO BARIADI SEKONDARI. Na, *Joseph Brighton Malekela* Makamu mratibu Taifa TSNP _ Kitengo cha Sekondari Mtandao...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari wanajamvi. Naomba kujua Jinsi ya kuomba kufundisha certificate / diploma in education
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Naomba kufahamu taratibu, gharama, mda wa kusomea cisco courses kwanzia moja ccna mpaka ya mwisho naomba kujua nitashukuru zaidi
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nilimaliza Darasa la saba, nikafeli - nikarudia shule nyingine nikapita. Nikaenda Secondary, form four nikapata div IV ya point 26 nikachaguliwa chuo cha ualimu wa primary- nikagoma kwenda...
3 Reactions
31 Replies
7K Views
Wana jamii, naomba kufahamu kwa anayejua. Enzi za uhai wa Baba wa Taifa, tulikuwa tukimaliza kidato cha nne , tunajaza fomu kwa ajili ya kuchagua A level na Vyuo mbalimbali. Je kwa sasa...
0 Reactions
0 Replies
416 Views
Back
Top Bottom