Naomben msaada wana forum. Hivi ni kweli ktk faculty za Afya coz ya Optometry na Dentaly ngaz ya certificate ipo? Coz niliwai kuckia znapatkana kwa ngaz ya Diploma 2 ila juz ktk pitapta yangu...
"This means that the education system of Tanzania must emphasize cooperation endeavor, Not individual advancement, It must stress concept of equality and the responsibility to give services which...
Mimi ni mwalimu wa Masomo ya Biology & Chemistry nimehitimu 2016 level ya degree natafuta shule ya kufundisha wadau my no 0744999752. Nipo Dar es Salaam
Hili ni jukwaa special kwa wahandisi... tueleze matatizo gani yanawa-face wahandisi wengi wa Tanzania...
Kwa maana wiki uliyopita kupitia ERB inaonyesha Tanzania ina wahandisi wengi kuliko...
kwenye money paper ya Tz huwa naona saini ya waziri wa fedha pamoja na ya governer. Hivi huyo governer ndo nani na ana mchango gani katika pesa yetu. pia unasomea nini ili uje kuwa governer?
Wana Jf hivi ni sahihi mwalimu mwenye MASTERS kufundisha shule ya msingi??? maana kiwango chake cha elimu hakiendani na anachokifundisha huko shule ya msingi.
wadau mi nina Qn
nimechaguliwa kujiunga na A-level-feza boys but haina ECA ina EGM na combination zingine za science,ila mm nataka kusomea economic in the future BUT for st.joseph cathedral...
Msaada wadau je ? Amref huwa wanatoa ufadhili kwa wale waliochaguliwa kusomea certificate of nursing and midwifery kwa vyuo vya private especially hivi dini mfano bukumbi nk
Habar zenu wadau...naomba mnisaidie shule za boarding a level either mixed au za girls tupu ambazo ada zake ni nafuu (yaan ada isiyozd 2.5 m au 3m)
NB:mlengwa wa hyo shule ni dgo wa kike ana div...
Ninamdogo wangu amemaliza nursing ya mwaka moja anaweza akasoma certificate ya nursing amesoma masomo yafuatayo physics D chemistry C biology D mengine alipata F ila nacte wanataka passe D 4...
Salama wakuu,
Mimi nimefanya application kwa kupitia NACTE na idadi ya vyuo nilivyohitajika kuomba ni vitatu tu na kweli nimeomba.
Je baada ya kuomba kupitia NACTE nini ninatakiwa kufanya baada...
habarini wakuu ninaomba msaada wenu , nilikuwa namfanyia mdogo wangu application nacte Jana jioni sasa nikatuma elfu thelatini kwenye mpesa kwa kufuata zile process zao wanazotaka .sasa toka Jana...
hivi kwamfano umehitimu chuo kikuu ukafanikiwa kupata shahada yako ya kwanza labda tuseme niya Education je inaruhusiwa labda endapo ntaamua kusoma tena masomo ya ziada ya advance kwa combination...
Habari wana Jf,
Kwa wahusika wote nenda hapa United Republic Of Tanzania - Ministry of Education and Vocational Training
Pia unaweza angalia kwa kutumia link hii hapa PMORALG - Home -
Kwa...
Nataka kuaply kusoma degree ya education.
Nimeambiwa hizi ziko mbili moja ukimaliza unakuwa mwalimu wa chuo na nyingine unakuwa mwalimu wa secondary
(a) Hii ambayo unakuwa mwalimu wa chuo...
Wasalaaam,
Hivi kati ya hivi vyuo vikubwa Afrika Mashariki kipi:
kinatoa wanafunzi wazuri wenye uwezo wa kushindana kwenye soko la Ajira kimataifa?
Kinafanya tafiti nyingi za Kitaalamu zenya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.