Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
naweza kuomba kujiunga chuo cha maji ikiwa nimesoma EGM? Naombeni mchango wenu wadau
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari zenu accademicians, Napenda kuleta ombi langu kwenu,nahitaji msaada kwa anaye fahamu vyuo vilivyopo hapa Dsm, mm ni Mwl. by professional, nimehitimu degree ya kwanza (Bachelor) ya ualimu...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Ndugu zangu, Naomba msaada wa kupata matokeo ya kidato cha nne ya mwaka 1999, nina ndugu yangu namsaidia sasa nimeshindwa kuyapata online. Asanteni sana.
0 Reactions
11 Replies
20K Views
Haya mazoea ya vyuo vyetu vya kilimo na mifugo ambavyo vpo chini ya wizara ya kilimo na mifugo,, vina matatizo makubwa sana,, tunaomba wakaguzi wa hivi vyuo mpite kuvikagua katika suala...
1 Reactions
29 Replies
2K Views
Course bora ya cbg niipi kwahapa tz
0 Reactions
10 Replies
9K Views
Nitaweza kukipata tena?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa kawaida Ajira za Walimu zilikuwa zikitoka January na Walimu walikuwa wakiwasili vituoni walipopangiwa mapema Mwezi wa Pili, lakini kwa miaka takriban mitatu iliyopita kuna Mwezi mmoja mmoja...
3 Reactions
87 Replies
77K Views
Jamani naomba kuuliza mwanafunzi mwenye principal passes mbili kwenye vyeti viwil tofauti anaweza kwenda chuo , I mean ana D mbili vyeti viwili tofauti means cheti kimoja ana D moja na kingine D moja?
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Naomba kujua orodha ya vyuo vya serikal Vinavyotoa diploma ya ualimu wa science shule za secondary
0 Reactions
0 Replies
480 Views
Mpaka sasa watu wa mikoani(Mbeya) hatujapata registration numbers kutoka nbaa ili tujaze fomu za kufanya mitihani, fomu ya mitihani inahitaji registration number yako na mwisho wa kukusanya hii...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimesoma A level ila bado sijui sifa za kuwa mwalimu wa A level 1. Kiwango cha Elimu yao 2. Je wanapatikanaje yani utaratibu wa ajira zao My take Walimu wengi wa A level uwezo wao wa...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Muhitaji yupo Dar, masomo ni Math na physics A level Karibu.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
habarini wakuu, mimi ni mtanzania,niishie nje ya nchi,uwa kila mwaka katika chuo nisomacho tunatamaduni ya kuandaa siku ya maonesho,na siku hii uitwa international day.lakini katika chuo iki niko...
1 Reactions
116 Replies
5K Views
Jins ya kutuma pesa nacte da mwisho juma3 inachanganya reference no.na account no.msaada apooo
0 Reactions
0 Replies
505 Views
Nafuatilia majadiliano, washiriki wako vizuri katika kuchambua udahiri na TCU
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu naomba mnisaidie jinsi ya kuapply chuo.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Heshima kwenu wadau, naomba mnisaidie mwenye uelewa. Mfumo wa nacte kufunguliwa Sasa mpaka March ni kwa waombaji wote mpaka waliomaliza form four 2016 au ni kwa miaka ya nyuma tu? Maana...
2 Reactions
11 Replies
3K Views
Mimi ni mwalimu kitaaluma katika ufundishaji wa masomo ya Hisabati na Jiografia. Kwa wanaotaka huduma ya kufundishwa au kufundishiwa watoto wao hapa Dar es Salaam, mimi ninatoa huduma hiyo...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
matokeo yake chemistry c geograp c physic D English c bios c math d kiswah d history d civics d je mtampa ushauli gan huyu mtu
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Stashahada ya sheria na stashahada ya uandishi wa habari(DIP YA JOURNALISM NA DIP YA LAW) Asalaam alykhum/Tumsifu yesu kristo/Aleyuyah Wakuu napenda kujuzwa juu ya hizi stashahada mbil tofaut...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Back
Top Bottom