habari zenu...
Ni lini wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi itatoa muafaka wa muongozo wa mihula kwa wanafunzi hawa waliodahiliwa mwaka jana 2016 na kuripoti November mwaka jana.
mpaka sasa...
Ni kwa wale wa intake ya mwezi wa 3 na 4 kwa maelezo said ingia www.nacte.go.tz
======
TAARIFA KWA UMMA
KUFUNGULIWA KWA MFUMO WA PAMOJA WA UDAHILI KWA KIPINDI CHA MACHI/APRILI, 2017 KWA MWAKA...
Jamani nilikuwa nafanya usajili NACTE lakini nikifika sehemu ya kujaza mwaka niliomaliza form four mwaka haukubali.
Nilimaliza mwaka 2006, naomba msaada wenu tatzo nini au tuliomaliza kabla ya...
Wanabodi naomba mnishauri kuhusu matokeo ya mtoto wa dada yangu.
Amemaliza kidato cha nne mwaka jana.
Anaweza kusoma ufundi wa aina gani kutokana na matokeo haya maana nawaza nimpeleke VETA ila...
Utaratibu wa kudahili wanafunzi kuingia vyuo vikuu nchini uendelee kufanywa kwa kutumia mtandao (CAS) kwakuwa umeonyesha ufanisi mkubwa sana katika kutoa fursa sawa kwa wanafunzi bila kuzingatia...
Nauliza kama bodi ya mikopo ya elimu ya vyuo vikuu imemaliza kutoa majina kwa wanufaika wa mikopo 2016 /2017, maana mpaka sasa hatuelewi na vigezo wanavyotumia kutoa hiyo mikopo ni vipi?
Naombeni...
Chuo cha ualimu maurice kipo mbagala Dar, hakijawahi kufelisha mwanafunzi tangu2009 hadi leo. Ada kwa day ni laki7 na boarding ni million 1 na laki2. Kinatoa walimu wa Grade A(ngazi ya chet) na...
Habarini
Najua Hapa JF kuna watu wapo wanao ishi nje ya Tanzania,pia wapo wanao Soma nje ya Tanzania kwa pesa yao wenyewe,kwa scholarship au kwa Sponsorship! Kozi mbali mbali
Pia kuna wale wanao...
MSAADA NDUGU ZANGU
Tamko la Serikali juu ya Masomo ya Sayansi kuwa ya lazima kwa shule za Sekondari (Forms I - IV) linapatikana katika Waraka upi wa Serikali?
Natanguliza shukrani kwa msaada wowote.
Wanajf,nimemaliza kidato cha nne mwaka 2006 na kufaulu vzuri daraja la kwanza point 17 masomo ya sayansi nikafaulu vzuri pia bios A,chem B,physics C na math C lakini kwa kutokujua advance...
Nadeclare interest kuwa Mimi ni mdau na mshirika wa Elimu.
Najikita wilaya ya kinondoni nilipofanyia utafiti wangu na kubaini yafuatayo:-
1: Wanafunzi wa shule ya msingi kurejeshwa nyumbani SAA...
Habari members,
Kwa wale wanafunzi wanaohitaji high quality and international class materials kuna website (funded by bill and melinda gates <partially funded>) ambayo inampa mwanafunzi free...
Hivi karibuni bodi ya mokopo ya elimu ya juu imepandisha makato kufikia 15% kuanzia mwezi huu wa Februari. Uamzi huu umetusikitisha sana sote tuliosoma kupitia bodi hii; licha ya ongezeko hilo...
Ni ukweli kwamba TCU walibadili vigezo kwa mtu mwenye diploma kujiunga chuo kikuu ambapo kwa mwaka wa masomo 2016/2017 kujiunga na degree mtu alitakiwa awe na G. P. A Ya 3.5 na kuendelea lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.