1.Unamkata mfanya kazi asilimia 15 ya mshahara wake ilihali kwenye mshahara wake hakuna maboresho yoyote???
2.Kwa makubaliano yapi bodi ya mikopo inamkata asilimia 15 ya mshahara wake...
Naombeni kuuliza hivi hawa maproducer uwa wanasomea hiyo fani au ni ujanja na kipaji tu.
Na kama wanausomea Tanzania ni wapi au chuo gani kinatoa ayo mafunzo.
Sijawahi kuelewa naomba wadau...
Kumetokea matukio mengi tangu matokeo ya form iv yatoke. Hayakua mazuri kiujumla especially kwa shule zetu za kawaida
Naona watu wengi wamejisahau pamoja na viongozi.
Kuna vitu vingi...
habari wakuu,
Ninaomba msaada kwa yeyote mwenye uwezo wa kumsaidia jirani yangu (binti) anayesoma shule ya kutwa ya Temeke kidato cha tano aweze kwenda shule yeyote ya bweni ya serikali yenye...
Hakuna haja kuendelea kukagua maandalio pekee bali wapewe japo dakika hata 20 wafundishe darasani ili kuona pia nature ya wanafunzi walioko mashuleni.
Kama wakiendelea kukagua tu maandalio...
Habari za jpil ndugu zangu..mm ni mdogo wenu niliyehitimu shahada ya kwanza ya elimu katika uongozi na lugha na nina ndoto za kusoma masters ya tafiti na sera za umma.
Naomba kama kuna taasisi au...
Naomba kujua, Mimi Nina div 3 ya pts 25, (Civ-C, Eng-C, Kisw-C, Hist, Geo, Bio, Math, Common ni D na B/keeping F) je naweza rudia Hist na Geo tu, maana nasikia lazima nirudie masomo 7, wengine...
Shule ya sekondari iitwayo CORNERSTONE LEADERSHIP ACADEMY iliyoko ARUSHA yenye wanafunzi wa kitato cha 5 & 6 inafanya usaili (interviews) kwa wahitimu wa kidato cha 4 ili kupata ridhaa ya...
Naongea kwa JAZBA, kwa kuwa mimi ndio muhusika.
Somo najiamini, nimejibu vizuri, nina uhakika kama sio A basi ni B. Eti Necta wananiwekea D au kisa mimi ni PC.
Somo ambalo sifikirii kama...
Mhesimiwa waziri mkuu,baadhi ya walimu bunda tunanyanyaswa na afisaelimu wa wilaya kwa sababu tulisema ukweli kuwa wapo wanafunzi waliorudia darasa la saba baada ya kuhitimu elimu hiyo shule...
Habari wan jf,kun mdogo wangu kapata division 4 sasa kuna mawazo mawili hapa tunayo ambayo wazo moja ndio linatakiwa kuwa applicable
Mawazo yenyewe ni
1) kumpeleka dogo Veta akasome ufundi stadi...
Wakubwa shikamooni wadogo habari zenu naomba wataalamu na wajuzi wa haya mambo mnisaidie juu ya mikoa tajwa hapo juu wapi panafaa kufanyia field ya IT.
Apa namaanisha maeneo yenye miundombinu...
Since it opened its doors to the first cohort in July 2015, the Center has graduated 1,095 young African leaders who are sparking change and growth in their communities. Want to join them? Then...
Uhalisia wa mshahara wa mwalimu baada ya makato mapya ya 15% ya bodi ya mikopo ya elimu ya juu.
Baadhi ya makato katika mshahara wa mwalimu ni kama inavyoonekana kwenye mabano;-
Mfuko wa hifadhi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.