Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Habar za Leo ndgu walimu,mi ni mwl wa phy Na hesabu,kuna matatizo yanayotukumba cc walimu wa sayansi ukiwa ni pamoja na wingi wa vipindi,hvyo nimeona bora tuunde group national wise ili tujadili...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Poleni na majukumu wakuu Nina div 4 ya 26, shule moja ya private imenikubali kusoma uku na resit kuitafuta c 1, Lakin Pia Nime vutiwa na hii course yA community health Napenda kusomea afya japo...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Habari wakuu, Jana nilipokuwa nasikiliza vipindi vya redio clouds fm nilisikia kuhusu taasisi ya elimu ya watu wazima, nikawa nimevutiwa kwa sababu kuna vijana wengi mtaani wanahitaji kupata...
1 Reactions
5 Replies
6K Views
Samahani kwa mwenye notice nzuri za altenarting current( a.c) anisaidie, natangulza shukrani
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Kumekuwepo na Tabia ya kushusha walimu wakuu ( Msingi) vyeo katika Wilaya ya Nyamagana - Mwanza.Kazi hiyo hufanywa na Afisa elimu Wilaya akishirikiana na waratibu elimu Kata,sababu kubwa ni kwa...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Jaman sio mbaya tukifahamiana tuliosoma bihawana na mliopo bihawana
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Hivi walimu waliomaliza arts na tunaosomea arts mwisho wetu ni nini, maana siku ya mahafali ya mwaka wa 3 hapa DUCE principal wa chuo alimwambia mkuu wa chuo Jakaya M. Kikwete kuwa wanatufundisha...
4 Reactions
10 Replies
3K Views
Habari wakuu! Nlipata kurudi chuo nilichosoma miaka 6 iliyopita kumwomba dokta mmoja aliyenifundisha a"recommend" kama academic referee wangu katika maombi yangu ya masters lakini akanambia sie...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Jamani Naitaji kusomea Udakitari Ila Elimu yangu DARASA LA 7 Naweza kutumia njia gani ili nifikie malengo yangu? Umri wangu 24 years
1 Reactions
10 Replies
5K Views
Msaada wa kuelimishwa kuhusiana na waves za earthquakes
0 Reactions
1 Replies
507 Views
Mimi ni mwalimu mwenye level ya diploma katika masomo ya kemia na hesabu nataka nikajiendeleze degree kwa course (bachelor of science in chemistry) ambayo siyo ya ualimu, je inalipa na ni field...
0 Reactions
22 Replies
5K Views
kwa ambaye bado hajayaona au anapata shida kuona matokeo ya kidato cha nne aweke namba ya shule nimsaidie...
0 Reactions
3 Replies
845 Views
Naomba msaada, Naitaji kujiunga na kidato cha tano kama private condidate mchepuo wa EGM ila ningependa kusoma katika mkoa kama Morogoro na Arusha, Moshi au Mbeya mwenye kujua shule nzuri yenye...
1 Reactions
22 Replies
4K Views
Habar wadau...naomba msaada wenu kwa wale wanaosoma chuo nilichokitaja hapo juu,nimepata post katika chuo hicho.sina mwenyeji wa kunipokea.plz kama kuna mtu yupo hapo hebu aniibox .thanks
0 Reactions
2 Replies
1K Views
True Ink Associates would like to announce the CISA (Certified Information Systems Auditor) review class will start on 02/05/2016 at DSM City Center Raha Tower Building .The course duration is 5...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
oya mwenye taarifa kuhusu facuty hio apo anipe information zake zaidi
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ieleweke shughuli zote zinazofanyika darasani zinapaswa kuwa katika mpango unaoakisi Falsafa ya Elimu. Mipango katika ngazi za juu inaweza pia kuwa kupangwa na kusimamiwa na Sera ya Elimu. Kwa...
0 Reactions
6 Replies
14K Views
Chuo kinachotoa deploma au degree ya michezo
0 Reactions
5 Replies
8K Views
Waheshimiwa walimu wanafunzi wenzangu nataka kujua kwa vyuo ambavyo mmeenda TP sasa hivi mmepewa pesa zote au nusu maana sisi ni mwez wa saba sasa cjui itakuwa nusu kama mwaka jana au laaa..!!!
0 Reactions
0 Replies
811 Views
Back
Top Bottom