Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Wapendwa ndugu mfano mtu kamalizaa labda 2006 form four akapumzika akaristi akapata C Tenaa akapumzika Akala C akakaa mpka 2016 akaresit tena akala C yatatu ila kombi haija kaa sawa, je anaweza...
0 Reactions
23 Replies
5K Views
Kwa mwenye kufahamu naomba anipe taratibu za kaunzisha shule ya awali(chekechea) ?
1 Reactions
0 Replies
3K Views
Wale ndugu wote mliochaguliwa DIT kwa fani mbalimbali za shahada ya kwanza mwaka 2015/2016 karibuni tufahamiane hapa.
0 Reactions
56 Replies
10K Views
ITENDE HIGH SCHOOL -MBEYA NAFASI ZA MASOMO KIDATO CHA TANO 2017. Uongozi wa SHULE, Unatangaza nafasi za kujiunga na kidato cha tano 2017. Shule ni bweni na kutwa kwa wavulana na wasichana...
0 Reactions
16 Replies
7K Views
Serikali kupitia kwa Waziri wa Utumishi wa umma na utawala bora ilitangaza kuwa mwezi ujao inategemea kuajiri walimu wa sayansi na hisabati pamoja na Mafundi sanifu wa maabara ambao kwa ujumla wao...
2 Reactions
22 Replies
7K Views
Naomba ushauri .naweza kufanya masters ya nini yenye ajira?
0 Reactions
1 Replies
833 Views
Mara nyingi mitihani ya vyuo vya afya kwa ngazi zote huendeshwa na NACTE. mwaka jana mwezi wa nane tulifanya mitihani hiyo na hatimaye matokeo yakatoka mwezi wa pili na baada ya hapo kuna...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Naomba kujuzwa juu ya Kozi hizi na tofauti zake;CLINICAL OFFICER ,CLINICAL MEDICINE na MEDICAL OFFICER Natanguliza Shukrani
0 Reactions
4 Replies
983 Views
Walimu wengi nchini walio kazini na waliostaafu, washaelewa wimbo wa kuimba na sasa wanaelewa bila shaka ujuo wako ktk kiti ni suluhu tusidanganyane, hakuna uwezekano wa ujenzi wa nyumba za...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Eti matokeo ya kidato cha NNE yanatoka lini
1 Reactions
152 Replies
37K Views
Naomba msaada naangaliaje matokeo ya QT form two?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
0 Reactions
6 Replies
874 Views
Wadau wa jukwaa la elimu,kuna jamaa yangu amepata part-time job ya kuwa wafundisha wanafunzi wawili wa open university mambo ya maendelea, na kuna module kama saba wastani wa kila module ni...
0 Reactions
0 Replies
742 Views
Iv wana JF vyuo vya VETA vinatoa diploma kweli? na je? Vyeti vyake vinaubora sawa na vile vilivyo sajiliwa na NACTE?
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Unakuta mtu anasoma computer science au bsc informatics na wakati huo hufundishwa theories Sana na practical Ni kidogo Sana tena ile ya kuachiwa kama assignment na submission date Huyu...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Natumaini wazima Wa afya dhumuni LA Uzi huu nikama ifuatavyo: Nimemalza certificate ya uhasibu nahitaji msaada Wa CHUO kizuri ambacho nitaaza diploma kiwe na possibility ya urahisi hata...
0 Reactions
11 Replies
6K Views
Kuna baadhi ya shule binafsi (English medium) hapa jijini Mwanza zimetoa masharti ya kulipa kati ya tshs 85,000 na 100,000 kwa ajili ya picha na usajili wa mitihani ya taifa ya kidato cha pili...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Kuna fikra zimejengeka miongoni mwetu kwamba Masomo ya Sayansi ni Magumu ni ya kweli? Unakuta mwanafunzi kuanzia darasa la kwanza anajua kuwa Hesabu ni Ngumu hivyo anakua anasoma basi na yote...
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Kumetokea wimbi la watawala wetu kupishana kauli na huku wakiwadanganya watanzania, hususani vijana ambao wanasubiri ajira. Mmoja akasema mwezi may wangeajiri watumishi, lakini cha kushangaza ni...
1 Reactions
0 Replies
643 Views
Back
Top Bottom