Naandika makala hii kuelezea kilio chetu kwa wanafunzi tuliokosa mikopo hususan chuo cha Dar es Salaam Maritime Instutute (DMI). Taasisi hii ambayo inatoa kozi ya Bachelor in Marine Engineering...
Japo mwanzoni, kwangu niliona kama nimeonewa na BODI YA MIKOPO ELIMU YA JUU ila leo naona wamenifunza kuyajua maisha.
Tangu nikose mkopo huo sikupata usingizi mzuri niliwaza sana namna ya kuweza...
Wakuu Nina ndg yangu alifanya private candidate Mara mbili akapata vyeti viwili vyenye D MOJAMOJA KILA cheti JE akiomba degree kwa vyeti viwili atapa chuo?
Jamani wanajukwaa la elimu mimi naombeni mnisaidie namna gani naweza kupata scholarship baada ya kumaliza mtihani wangu may 2017
hakika msaada wako ni niwathamani sana kwangu na mungu atakusaidia...
Naomba mwenye kujua link ya kujisajili na kuweza kupata salary slip yako online anijuze. Nliwahi kusikia kuwa kuna link ya kujisajili, msaada tafadhari
Kwa taarifa yako mmea wa Pitcher ni mmea ambao una sifa ya (carnivores) kwani unaishi kwa kula wadudu. Tofauti na mimea mingine mmea huu ambao una ua kubwa lenye rangi ya kuvutia lina nta ambayo...
Habarini wana jamvi kuna kitu kinanisumbua hapa
mimemaliza form four mwaka jana na matokeo ni kama hivi
S1049/0063
M
20
II
CIV - 'C' HIST - 'C' GEO - 'C' KISW - 'C' ENGL - 'B' PHY - 'C' CHEM...
Ni ukweli usiopingika kuwa Miaka kadhaa iliyopita Shule za St. marry's zilijijengea sifa hapa nchini hata nje ya nchi. Kinachoendelea sasa hivi hata sikielewi kwani pamoja na usimamizi hafifu kwa...
Chagua jibu sahihi kukamilisha sentensi ifuatayo.
Wanafunzi waliimba wimbo wa _______ kabla ya kufanya mtihani wao wa kwanza wa ______; Kiswahili, ambayo ni lugha ya ______.
A. kitaifa, taifa...
Ni weekend nyingine njema, jumamosi murua kabisa iliyotulia ya tarehe kumi na moja mwezi wa pili ya mwaka 2017.
Ni matumaini yangu muu wazima wa afya wana jamii forum wenzangu.
Bila kupoteza...
Habari zenu wana Jf,
Kuna ndugu yangu kamaliza form four amepata IV, nahitaji aende chuo cha private akasome certificate either education, business administration n.k
Naomba kujua vyuo vya...
Habar wapendwa.
Je kuna yoyote anayefahamu Shule ya Udreva inayofanya kazi hata usiku?
Nasema usiku kwa sababu kazi yangu nnatoka saa kumi na mbili kama kuna yoyote ambaye anaijua aniambie ni...
Malaria
The natural ecology of malaria involves malaria parasites infecting successively two types of hosts: humans and female Anopheles mosquitoes. In humans, the parasites grow and multiply...
Nahitaji msaada wa kufahamu baada ya kuhitimu chuo kilicho chini ya NACTE ni baada ya muda gani Acedemic certificates and Transcripts zinakua tayari zishafika kwenye chuo husika. Natanguliza shukrani.
Wakuu salaam.
bila kupoteza muda moja kwa moja niende kwenye mada.
Mimi ni kijana wa kiume ninaumri wa miaka 24 sasa
Nimwanachuo NIT nachukua bachelor degree in information technology mwaka wa...
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza hapo juu nimepoteza Vyeti vyangu vya kidato cha nne na Sita sikumbuki nimevipoteza wapi nimegundua leo hii baada ya kuwa na uhitaji navyo naomba Msaada kwa...
Siku si nyingi tumeshuhudia baadhi ya wakuu wa shule 10 za Mwisho kupewa adhabu ikiwemo ya kuondolewa katika nafasi za kuwa wakuu wa shule.
Swali langu ni Je, kitendo hicho ni sahihi? Je, tofauti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.