Nilikuwa ninashida ya kutaka kujua kwa wale waliowahi kwenda kusoma diploma au degree ya kwanza nje ya nchi mfano S. Africa ni vigezo gani wanatumia katika kubadilisha matokeo yako kuelekea kwenye...
Kama kuna shule au taasisi au mtu binafsi anahitaji mfumo wa kwa ajili ya ofisi tuwasiliane
kupitia contact zilizopo kenye website http://www.mjimpya.epizy.com
Kwa demo jinsi mfumo huo unavyo...
Habari wanajamvi. Polen na majukumu ya kutwa, naomba kwa anayefahamu vigezo vya kujiunga na basic technician certificate in community work with children and youth
Naheshimu mawazo yenu...
Nimesoma art na nimepata 4 ya 28 yaan
Eng c
Kiswah c
Geog d
Hist d
Civ f
Math f
Na bios d
Nikasomee nn ili nihikomboee au niende chuo gani ili nifanikiwe msaada tafadhaliiii
Majina ya walio appeal mikopo yanatoka leo
=======
The Higher Education Students’ Loans Board wishes to inform all loan applicants who appealed against their loan status that the results of...
Nina mtoto anasoma kidato cha nne, ambapo anategemea kufanya mtihani wa mwisho wa kumaliza kidato cha nne, sasa basi, Naomba mnijulishe mwisho nilini tarehe ya kulipia ada ya mtihani Wa kumaliza...
kweli zama zimebadilika sana siku hizi unakuta mtoto wa form one anaambiwa shika chini na mwl wake anamjibu anavyotaka mara sishiki mara hoo huniwezi kunichapa wewe,
Kipindi chetu mwl anaweza...
Napenda kushea nawe kuhusu PESA NA MUDA..
Bila shaka upo uhusiano mkubwa kati ya pesa na muda..
-ndio maana nauli ya ndege ni kubwa kuliko ya basi, why..?
Because ndege hutumia mda mchache (mf...
Siku si nyingi tumeshuhudia baadhi ya wakuu wa shule 10 za Mwisho kupewa adhabu ikiwemo ya kuondolewa katika nafasi za kuwa wakuu wa shule.
Swali langu ni Je, kitendo hicho ni sahihi? Je...
Husika na kichwa cha habari hapo juu. Naitaji kujua zaidi kuhusu iyo kitu how could i do and if anyone knows about " assessment of water leakages in water supply infrastructures" in details..
Naombeni ushauri wadau anayejua,Kati ya Kurisit naKusoma QT kipi bora?Ikiwezekana nipeni maelezo QT ilivyo,Ada yake,Namna ya kujisajili na Usomaji wake.Nina mdogo angu alifeli form4 ila sasa ana...
SHUGHULI MUHIMU ZA ELIMU.
Na Mwl.Victor Mlaki.
Katika jamii changamani pamoja n maendeleo ya viwanda elimu ina umuhimu mkubwa sana, Wanafalsafa wa vipindi vyote vilivyotangulia walionesha namna...
Soma vizuri guidebook ya TCU. Priorities kwenye programmes mbalimbali zimeonyeshwa dhahiri. Programme zipo hizi tu: Computer, Afya, Industrial na Engineering.
Angalia admission requirements zake...
Habari wanajukwaa la elimu! Naomba ushauri kumtoa mtoto kwenye Shule za kawaida private akiwa ameshafaulu mtihani wake wa kidato cha 2, nimpeleke QT akaendelee na kidato cha 3 he inawezekana? Na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.