Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Kutokana na matokeo ya kidato cha nne yaliyotoka wiki hii, nilishindwa kuelewa imekuwaje wanafunzi wangu ninaowafundisha wakaishia kupata daraja B na C huku hakuna hata mmoja aliyepata daraja A...
1 Reactions
61 Replies
12K Views
Wakuu naombeni mnifahamishe sifa za kusoma course ya information and technology (IT)
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimeangalia orodha iliyotolewa na wizara ya elimu kwa watu waliotuma vyeti vyao na kukamilisha jumla nimekuta 2013 tu yani imenipa picha kuwa wahitimu wa sayansi na hisabati ni kidogo sana...
0 Reactions
75 Replies
8K Views
Hakika nimekuwa nafwatilia michango mbalimbali ya wadau wa elimu Juu ya wanafunzi kufeli mitihani yao. Wadau wamekuwa wakitoa sababu nyingi sana zikiwemo umbali wa Shule, usafiri . Mwanafunzi...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Mimi nawalaumu sana walimu wa serikali na ninawajua asilimia kubwa ni wavivu na wanafundisha kama hawataki hivyo serikali iwape kiapo walimu waweze kuapa Pia nashauri ifikie hatua muwafanyie...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
wakuu salama? Mimi ni mwana technology Sasa natamani sana kufahamu sana mambo ya mwili wa binadamu hata kama sio deeply Ila niwe na skills kadhaa za kutibu mtu yani simply nipate basic knowledge...
1 Reactions
14 Replies
5K Views
http://www.https://jamii.app/JFUserGuide/2016/02/nafasi-za-kujiunga-kozi-mbalimbali.html http://www.https://jamii.app/JFUserGuide/2016/02/mpyaapplication-za-kujiunga-diploma-ya.html
0 Reactions
19 Replies
36K Views
Elimu ya Diploma ya Uandishi wa Habari ndiyo kiwacho cha chini cha elimu ya uandishi wa habari ambacho kitamruhusu mwandishi wa habari nchini kufanya kazi hiyo, kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa...
0 Reactions
0 Replies
11K Views
Msaada, applications diploma na Certificate kwa form 4 waliomaliza mwaka2016 zinaanza lini?
0 Reactions
0 Replies
934 Views
Kwa wale mliochaguliwa chuo cha uuguzi machame nitext kwenye 0753868728,tutengeneze group,,nakuunga faster,andika jina lako halisi ili tujuane mapema,,na kupata updates mbali mbali za pale...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari zenu wakubwa nimekuwa nikiona Mara nyingi amref amekuwa wakitoa ufadhili wa masomo kwa certificate of nursing je ? Naweza kupata ufadhili nikichagua vyuo vya private au wanatoa serikali tu ?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mungu awe mwema kwako!!! Inafahamika kuwa watanzania tuliowengi hatuna ratiba,,na bajeti katika maisha yetu,,,,,hivyo hatujui wakati ujao. Wanafunzi wengi wa Chuo waliopata mkopo wengine...
1 Reactions
54 Replies
5K Views
Baada ya kuona kuona mada mbalimbali umu jamii forums kuna baadhi ya vituvitu furani vikititokezaga huwa vinazua utata ambapo kila mtu anatoa perception zake sasa nimeona bora niwaweke watu sawa...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Naomba kujuzwa kuhusu PRL (recognition for prior learning). Je utaratibu wa kujisajili,lini usajili utaanza kwa mwaka 2017 na ni utaratibu upi unatumika kujisajili. Kwa anayefahamu tafadhali...
0 Reactions
0 Replies
723 Views
Ndugu zangu, Matokeo ya Kidato cha Nne mwaka huu yamezua mjadala mkubwa. Miaka zaidi ya sitini iliyopita, mwandishi Shaaban Robert aliandika yenye kushabihiana na hali yetu ya sasa. Angalia...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wana JF Naomba ushauri kutoka kwenu waungwana; Nilimaliza kidato cha IV mwaka 2011 na kufanikiwa kupata alama ambazo ni za kawaida kama ifuatavyo: Basic Mathematics-C Chemistry-B...
0 Reactions
84 Replies
7K Views
Wiki hii matokeo ya wanafunzi waliohitimu kidato cha nne mwaka jana yametangazwa. Kuna shule zinasherehekea na nyingine zina simanzi. Shule takribani sita za mkoa wa Dar ni miongoni mwa shule...
0 Reactions
1 Replies
647 Views
Kuna shule za kiisilamu(Islamic school) lakini zinawalazimisha wanafunzi ambao sio waislamu kusoma somo la Dini ya kiislamu pia kuna shule za kikristo zinawalazimisha wanafunzi wasio wakristo...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Serikali ikiendelea kukaa kimya hadi mwishoni mwa mwezi huu, ninaamini kuwa mawaziri husika wanashindwa kufanya kazi zao hadi wapate kauli kutoka kwa Mheshimiwa! Maana mchakato wa kupanga vituo...
6 Reactions
156 Replies
12K Views
Back
Top Bottom