Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Jamani hivi course ya clearance and forwarding inahusu mambo gani?
0 Reactions
0 Replies
926 Views
Wakuu, Naomba msaada kwa anayejua procedure za kufuata ili kupata Udhamini wa masomo kwa serikali katika diploma ya uhandisi. Asanteni.
0 Reactions
12 Replies
3K Views
KULIKO KUMPELEKA MTOTO SHULE YA KATA, AKIMALIZA LA SABA BORA UMPELEKE VETA AKASOMEE UMEME WA MAGARI
3 Reactions
3 Replies
1K Views
Nina kijana wangu wa kike matokeo ya 4m 4 ana 2.21 Civ C Hist C Geog C Kisw C Engl C Bios C Phy F Chem C Math D Anaweza pata sponsorship ya serikali/mashirika uyajuayo kusoma certificate ya...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Nimeumia sana kuona nacte wamepiga marufuku wale waliomaliza kuanzia 2010 kurudi nyuma wasiombe vyuo vya serikali mbali waombe vyuo vya private vyeye gharama kubwa sisi watoto wa masikini...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Habari za hapa ndugu zangu? Naomba sana kwa yoyote yule ambae anazijua shule binafsi HIGH SCHOOLS zilizopo katika mkoa wa DAR ES SALAAM na ambazo zinatoza ADA nafuu kidogo naomba sana aniambie...
1 Reactions
7 Replies
6K Views
Kuna huyu dogo ana IV ya 26 anataka kureseat ili apate credit moja C nyingine itakayo mwezesha kwenda form five je kwa sasa hivi inawezekana Kureseat ukapata C nyingine ukaunga vyeti viwili
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habar zenu wanajamvi?, ninandugu yangu ambaye kamaliza ualimu ngazi ya cheti hadi hao wazee wamajuu hawasomeki mara wanahitakika wale wa sayansi na hisabati ambaye wana shahada, sasa hawa wenye...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jama naomben mnisaidie mm nina Histor c,kiswahl b na englsh c ila nina four ya 32.Je naweza kuchaguliwa kidato cha tano
1 Reactions
11 Replies
4K Views
poleni na kazi wadau napenda kujua utaratibu wa kulipia supplemental exam katika vyuo vyetu ukoje? kila chuo kina utaratibu wake au kuna kiwango cha ulipaji? maana chuo chetu unalipia 50,000...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
HUWEZI KUPANDA MBEGU MBOVU UKAVUNA MAZAO BORA , TUMECHAGUA KUZIMALIZA SHULE ZA SERIKALI. A: Shule za serikali zinaendeshwa kisiasa kuwafurahisha wapiga kura . 1. Elimu bure kila mwezi billion 18...
0 Reactions
0 Replies
649 Views
Wakuu wana Jamvi Kwa mara nyingine nimeshtushwa ma tuhuma wanazorushiwa Walimu kutokana na matokeo mabaya ya wanafunzi, nimekaa nikatafakari kwamba hebu tuone kama kuna ukweli au lah!! Maana kuna...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Goodmorning. Kuna mtu anafahamu shule inaitwa Jomak Primary iliyopo wilaya ya Kinondoni? If yes je ni nzuri? Location? contact? I cant get it on google.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari zenu wana JF, Kuna jamaa yangu alikuwa anaomba ushauri wenu. Baada ya kufanya mtihani wa Taifa mwaka 2014 kwa mfumo wa GPA akapata PASS ya 0.6 yaani Mathematics F English D Geography F...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Habari wanajamvi,nilikuwa nahitaji msaada wa jinsi ya kukata rufaa matokeo ya kidato cha nne,pia bei ya kukata rufaa ni bei gani kwa yoyote anayefahamu anisaidie tafadhali
2 Reactions
20 Replies
10K Views
Kutokana na kukosekana kwa ajira hasa za ualimu wa masomo ya sanaa, narudi kuanza upya masomo ya sayansi. Tena naanza na Qualifying Test na baadae kama private candidate. Elimu haina mwisho naomba...
0 Reactions
8 Replies
946 Views
Matokeo mabaya kwa shule za serikali angalieni wakuu wa shule wengi ni wabovu na sio wabunifu wanashindwa kuwasimamia walimu wao hivyo serikali m-deal na hawa wakuu pia ikiwezekana muwachague...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Nimenunua kifurushi cha mwezi tar 16 Leo tar mbili kimeisha.. Nioneni huruma basi pesa ngumu sikuizi daaah... Au waelewa wanisaidie
0 Reactions
1 Replies
682 Views
Habar wakuu.Naomba kufahamishwa shule ya Advance yenye Ada chini ya milion(kumwezesha mtoto wa mkulima Wa jembe la mkono kumudu Ada)Boys /mchanganyiko.Mchepuo sanaa. Asante.
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Back
Top Bottom