Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Kwanza kabla ya yote ningependa kutoa pongezi kwa wana Njombe na Iringa kwa kufanya vizuri na kuongoza. Sasa siku ya leo ningependa tujadili ni kuhusu mkoa wa Dar ambao umefanya vibaya...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Ndg,wanaJF heshima kwenu popote pale mlipo naomba msaada wenu hivi ni kozi gani ambayo naweza kusoma ambayo ajira yake inapatikana kwa urahisi , nimesoma HGK nilitaka kusoma ualimu lakini naona...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Mtu yeyote anae ijua vizur au kasoma Loyola high school naomba anichek watsap kwenye namba 0746019300 ...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimesahau password yangu ya account ya OLAMS na nimejarib kureset inagoma naomba kama kuna idea nyingine yoyote please!
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Habari za saa hizi wanajukwaa Bila kuwachosha mm nilikuwa naomba msaada wa mawazo maana najua humu kuna watu mbali mbali na uelewa tofauti, Mimi nilimaliza kidato cha nne mwaka Jana na...
1 Reactions
43 Replies
10K Views
Habari zenu wana jf,I have something disturbing my brain, mimi ni mwanafunzi wa chuo kimoja apa tanzania now niko mwaka wa pili but nimepostpone masomo kwa sababu mbalimbali na nilikuwa nachukua...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wakuu katika jukwaa la elimu, Nina shida moja nina mdogo wangu wa kike amefanya mtihani wa kidato cha nne mwaka jana matokeo yametoka amepata zero sasa amekaa home lakini sasa ivi anajutia...
1 Reactions
30 Replies
4K Views
Pamoja na mambo yote yanayofanywa na serikali za africa hususani Tanzania bado umasiki upo kwa kiwango kikubwa.. Katika uzi huu nitaizungumzia Tanzania sana... Ili umasikini uweze kupungua ni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Facts 1:Elimu bure ivyo hata waki feli hawapati hasara ila shule kama Feza boy wanalipa more than one million ivyo mzazi lazima awe makini 2:walimu wa serikali awafanyiwi usaili ivyo hata wabovu...
0 Reactions
2 Replies
879 Views
Kumekuwa na desturi ya kwanasiasa kuonekana wakati wa mazuri ila ikitokea mambo hayajaenda Sawa kila mmoja anakimbilia kiti cha nyuma. Hivi haya matokeo ya dsm kwenye shule kumi zenye matokeo ya...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
wakuu nahitaji msaada wenu mnijibu kama vyeti harisi vya kidato cha nne kwa wanafunzi waliomaliza kidato cha nne 2015 kama vimeshatoka coz nakihitaji sana natanguliza shukrani wakuu.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Si Kwa mzigo huu jamani!
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Hususani mwaka wa kwanza ndo imekuwa kero kusoma UDSM sio sababu unasoma mbinguni ..Haiwezekani mtu unaenda na kamba ya ID hadi Makumbusho, mwenge, Mbezi, POSTA, Kariakooo useme umesahau...
30 Reactions
153 Replies
14K Views
Tangu watangaze matokeo Jana nimeshindwa kabisa kuyaona Kwa sababu website ya NECTA haifunguki licha ya kuwa kwenye mtanadao wa 4G. Naombeni msaada mumetumia this Gani kuyaona matokeo?
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakuu kama kuna walimu humu wa shule za secondary naombeni mnisaidie kunielewesha kuhusu mda wa kutoka vyeti vya kidato cha nne na je kama vinashukua mwaka 1 kwa wale waliomaliza form 4 mwaka...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
NECTA kuna watu wa tehama (ICT OFFICERS) na siku zote ICT solve problem through develop software sasa najiuliza miaka yote matokeo yakitoka yanafunguka kwa tabu hivi mnashindwa kutatua tatizo hilo...
4 Reactions
5 Replies
960 Views
Wakuu ninashida na waziri wa afya chuo cha UD. Kama kuna yeyote ana namba yake naomba ani PM niweze kuwasiliana nae. Asanten.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Matokeo ya kidato cha nne 2016 yametoka, tumeona walichofanya hawa vijana! Kwa miaka ya nyuma ilikuwa ni jambo la kawaida sana kukuta shule za serikali zikiwa zinaongoza kitaifa na hata wanafunzi...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Reseater ambaye amefaulu vizuri, baada ya kurudia mitihani saba na kufaulu vizuri kwa kupata cheti kipya anachaguliwa kujiunga na kidato cha tano shule za serikali au ni lazima asome shule binafsi?
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Website ya NECTA ni kati ya website mbovu kabisa ambazo nimewahi kutumia yaani zaidi ya saa 6 haifunguki.
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Back
Top Bottom